Ujue mmea wa mkandandogowe kwa magonjwa yote ya ngozi

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,814
Reaction score
2,738




Ujue mmea wa mkandandogowe kisayansi psorospermum febrifegum Matatizo ya Ngozi (Upele, Fangasi, Vidonda)

mkandandogowe unajulikana kwa kutibu magonjwa ya ngozi kama ukurutu, fangasi, na vidonda vya ngozi.



1. Kwa kunywa kwa mtu mzima ni kijiko cha chakula katika uji mara mbili kwa siku.
2. Kwa kupaka: chemsha 300gm katika nusu lita maji, ikianza kuchemka ruhusu ichemke kwa dakika 10, ipua. Ikishapoa, chuja na iandae lotion. Anapaka eneo lililoathirika asubuhi na jioni kwa siku saba.
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2026-08-20 at 20.54.55 (1).jpeg
    7.6 KB · Views: 15

Lotion ya hayo maji au ya dukani unachanganya na hayo maji?

Na kama ni nyingine, kiasi gani cha lotion na kiasi gani cha maji?

Shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…