Ujue ugonjwa huu hatari sana kwa maumbile yako.

Ujue ugonjwa huu hatari sana kwa maumbile yako.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
1714412983309.jpg

TERATOMA ni aina mojawapo ya ugonjwa ambapo nywele, meno na aina nyengine za rushing kuota Mahali pasipo kawaida

Kwa mfano mwanamke mwenye ugonjwa huu anaweza akatokea kwa kitu mfano meno kwenye uke au kumea kwa nywele kwenye ovari

Japo sio kitu kinachompa maumivu muhusika na hili linaweza kuondolewa kwa upasuaji peke

Kwenye hiyo picha meno yameota kwenye mguu
 
Hadi nimeogopaaa!! [emoji17][emoji17][emoji17]
 
Mimi hata meno yakiotea ukeni bado moto atapelekewa tu,bora uume usagike kuliko kukosa utamu wa papuchi.ccm oye?
 
Back
Top Bottom