Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

Dada nakuomba hapa mara moja,au naomba niruhusu nije PM
 
Skin fungal infections are common especially in tropical areas. Nilikuwa na tatizo kama la kwako, nikiwa mdogo nilipata kichwani (mapunye)ilibidi ninyolewe nywele zote. Nilivyofikia puberty years ikatokea mgongoni, mara zote hizo nilitibiwa na whitefield ointment nikadhani tatizo limepotea. Miaka karibu kumi iliyopita nilikuwa ninawashwa mwili mzima, sehemu fungus walikuwa wanaonekana ilikuwa chini ya maziwa. Kichwani nilipata mba wa ajabu, sikuwa ninaweza kusuka nywele, especially nikisuka rasta baada ya siku mbili zinaonekana chafu kwaajili ya utando mweupe unaozunguka.

Nilikutana na Dr wa Kinageria, akaniambia atajitahidi mpaka hili tatizo linakwisha, ikiwezekana kuchuka skin sample na kuipeleka lab wajui ni type gani ya fungal infection. Alinipa vidonge (diflucan tablets) nitumie kwa miezi mitatu kila siku kidonge kimoja, aliniandikia (daktacort cream) nipake zile sehemu zenye mba nizoweza kufikia na aliniandikia (nizoral shompoo) ilibidi nikate nywele upara kabisa na kuna siku nilikuwa ninapaka shampoo bila kuosha na ninalala mpaka asubuhi nikiosha shampoo nilikuwa ninapaka dakttacort cream. Nilifanya matibabu haya kwa muda wa miezi mitatu bila kuacha. Ninashukuru kwangu sasa mba ni historia.
Sabuni ya detol ni kwa bacteria infections such as vipele na ukumbuke mba ni fungal infection. NAOMBA MSAADA KUHUSU IZO DAWA ULIZOTUMIA HAPO JUU,NAHISI NDIO TIBA KAMILI NA UHAKIKA KAMA ILIVOTOKEA KWAKO,JE ZINAPATIKANA WAPI NA KWA GHARAMA GANI?
 
Nenda kwenye maduka nakubwa ya dawa
 
MBA wa ngozi tiba yake muone daktari akuandikie proscription uende duka la dawa. Tiba huchukua wiki sita mpaka miezi mitatu. Hata yakipotea endelea kupaka dawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…