Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

Kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu MBA wa kwenye kichwa(nywele)
-Je huu ni ugonjwa?
-Husababishwa na nini?
- Tiba yake ni nini? Maana nitatizo ambalo ninalo mda mrefu nimeshatumia sabuni za kila aina lakini naona kama ndio tatizo linazidi.
 
Huo unawexa ukawa ugonjwa au usiwe, inawexa ikasababishwa na kutopaka mafuta mara kwa mara kichwan na tiba ni kupaka mafuta mara kwa mara, au inaweza ikawa ni kwasababu ya fangus so nenda dukan chukua dawa ya fangus ya kumeza utakuwa umepona
 
Umezungumzia dawa ya fangas, ni dawa gani hyo?
Na kuhusu mafuta ya nywele ni mafuta gan ambayo ni mazuri?
 
Tupo wengi but 7bu zilizotolewa mbona simo? Napaka mafuta ya kutosha na sifugi nywele!
 
Tungeanza na tafsiri ya neno mba kwani wengine huchukulia ni hali ya ngozi kukauka na kukatika wakati ukichana nywele kwa wanawake hulalamika kichwa kuwasha sasa mba ni nini???!!
 
Huo unawexa ukawa ugonjwa au usiwe, inawexa ikasababishwa na kutopaka mafuta mara kwa mara kichwan na tiba ni kupaka mafuta mara kwa mara, au inaweza ikawa ni kwasababu ya fangus so nenda dukan chukua dawa ya fangus ya kumeza utakuwa umepona

Kwa nini anywe dawa wakati sio sytemic???!!
Kama ni fungus why not topical application???
 
Naongea hivyo cz nimesumbuliwa na mba kwa muda mrefu nlikuwa nkichana nywele wakidondoka kwenye ngozi napata mba wa ngozi nliamua kwenda hospital na dactar
 
Doctar alinieleza kiufasaa kuwa wale n mba wa ngozi ambao ni possible kabisa kuwaponya kabisa kwa kutumia dawa ya mba ya kumeza na nliweza kutumia dawa hiyo ndan ya siku kumi nlikuwa nimepona. Afu mba kwa kingereza ndo fungus
 
Kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu MBA wa kwenye kichwa(nywele)
-Je huu ni ugonjwa?
-Husababishwa na nini?
- Tiba yake ni nini? Maana nitatizo ambalo ninalo mda mrefu nimeshatumia sabuni za kila aina lakini naona kama ndio tatizo linazidi.

Wewe huna mba, bali unangozi kavu na unashinda juani.
Nenda maduka ya urembo utapata vipondozi ka bio oil etc.
 
Maradhi ya Mba Hutokana na ngozi iliyokufa katika kichwa yaani dead cell.
dawa zilizopo ni :

Ndimu au limau: Kabla kwenda kukoga jisugue limau ndani ya kichwa na baadae yale maganda ya limau yatie katika maji ya kukoga yaani yawe maji ya Uvuguvugu halafu ukoshe kwa maji yale kwanza na baadae utumie maji yaliyo safi.

Fenugreek kwa kiswahili inaitwa (Uwatu) lakini imekaa kama rangi yake ni ya brown imekaa kama Vijiwe jiwe vidogodogo kama kuna Hii Uwatuunachukua vijiko 2 vya chai vya fenugreek unazirowesha katika maji usiku

mzima ili zipate kulainika, halafu unaziponda ponda na baadae unapakaa ndani ya kichwa na uwache kwa muda wa saa moja na baadae kuzikosha ikiwa utafanya hivi siku zote mbaa wataondoka Inshallah bila taabu yoyote.tumia moja ya hizo Dawa kisha uje hapa utupe Feedback.@
Hans Po

Fenugreek Uwatu.
 
Hao fangas wanasumbua sana.
Wewe nunua gracelyn uwe unapaka zinaisha tu..but ukiacha zitarudi.
Hawa wadudu madactari wengi wanajua inahitaji topical application kuwaondoa kwa sababu wanakaa juu ya ngozi ila maajabu yao ni kwamba wataondoka na kurudi.
 
Doctar alinieleza kiufasaa kuwa wale n mba wa ngozi ambao ni possible kabisa kuwaponya kabisa kwa kutumia dawa ya mba ya kumeza na nliweza kutumia dawa hiyo ndan ya siku kumi nlikuwa nimepona. Afu mba kwa kingereza ndo fungus

mkuu ulitumia dawa gani?
 
Wadau naombeni msaada wenu mi nikijana niko hapa Dar nimesumbuliwa na ugonjwa wa fangus kwa mda mrefu sasa tangia nikiwa form 2 mwaka 2002 hadi hii leo,nimekuwa nikimeza dawanyingi sana ikiwa ni pamoja na vidonge,kupaka lakini wapi hivi juzi juzi nimetoka kupima alegi nikapewa dawa za aleji eti nasumbuliwa na vumbi la ndani lakini wapi nikitumia dawa za kupaka zitapona lakini ndani ya mwezi mmoja zinarudia tena kwa kasi sana.zinatokea mwili mzima zaidi mgogoni na kwapani,mwanzoni zinakuwa kama vipele vya joto theni vinakauka na kuwa mmba(fangus)sasa hiv niko njia panda nashindwa cha kufanya coz nimetumia njia nyingi sana ikiwemo dawa za asili na sabuni lakini wapi..naombeni msaada wakuu.natanguliza shukurani.
 
Doctar alinieleza kiufasaa kuwa wale n mba wa ngozi ambao ni possible kabisa kuwaponya kabisa kwa kutumia dawa ya mba ya kumeza na nliweza kutumia dawa hiyo ndan ya siku kumi nlikuwa nimepona. Afu mba kwa kingereza ndo fungus

MKUU TUELEKEZANE HOSPITAL AU dR HUYO COZ NINAO WOTE MIMI WA MWILINI NA KATIKA NGOZI TANGIA MIAKA YA 2002 NATUMIA HIZO DAWA SANA WANAONDOKA NDANI YA MWEZI WANARUDIA TENA KWA KASI YA AJABU SANA IMENIBID NOW NISIFUGE NYWELE COZ NDIO NAJILETEA MATATIZO ZAIDI..MSAADA WAKO PLZZZ
 
Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.
Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri unaweza tapika.(Mara chache sana hutokea kutapika)

Ukishakaa kama dk 15 hali yako itarudi kawaida.Baada ya SIKU 1,utaona minyoo hakuna tena na fungus wote wamekauka!Kwisha kabisa!!!!

Pia kama una presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana presha,labda unywe na kahawa baada ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena presha!
 
kaka nimefanya hivyo nimekitumia kitunguu swaumu tena mara mbili coz niliwahi soma humu jamvini kuusu huu ushauri but hazikuisha wala nini now zipo tena
 
Una bima ya afya au unajitibu mwenyewe? Nahisi kuna tatizo unalo ila halijafahamika. Nenda TMJ fanya full blood picture chek pia na HIV halaf km una sukar nying it might be a problem.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…