Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo unawexa ukawa ugonjwa au usiwe, inawexa ikasababishwa na kutopaka mafuta mara kwa mara kichwan na tiba ni kupaka mafuta mara kwa mara, au inaweza ikawa ni kwasababu ya fangus so nenda dukan chukua dawa ya fangus ya kumeza utakuwa umepona
Kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu MBA wa kwenye kichwa(nywele)
-Je huu ni ugonjwa?
-Husababishwa na nini?
- Tiba yake ni nini? Maana nitatizo ambalo ninalo mda mrefu nimeshatumia sabuni za kila aina lakini naona kama ndio tatizo linazidi.
Doctar alinieleza kiufasaa kuwa wale n mba wa ngozi ambao ni possible kabisa kuwaponya kabisa kwa kutumia dawa ya mba ya kumeza na nliweza kutumia dawa hiyo ndan ya siku kumi nlikuwa nimepona. Afu mba kwa kingereza ndo fungus