Mkuu MGASON Tumia Kitunguu saumu kwa muda wa wiki moja kisha uje hapa utupe feedback sio unatumia siku moja au mbili tu.kaka nimefanya hivyo nimekitumia kitunguu swaumu tena mara mbili coz niliwahi soma humu jamvini kuusu huu ushauri but hazikuisha wala nini now zipo tena
Nunua kitunguu swaumu.Menya chote kama vile uandaavyo kwa ajili ya kupikia.Twanga ama saga,vikishasagika changanya na maji ya uvuguvugu kidogo kipimo cha kijiko cha chai ili vilainike.Chota msagiko wote wa vitunguu na uvimeze.
Tahadhari,jitahidi uwe na mfuko ama sehemu ya maliwatoni maana kama hauna tumbo zuri unaweza tapika.(Mara chache sana hutokea kutapika)
Ukishakaa kama dk 15 hali yako itarudi kawaida.Baada ya SIKU 1,utaona minyoo hakuna tena na fungus wote wamekauka!Kwisha kabisa!!!!
Pia kama una presha ya kushuka usitumie hii dawa maana huwa inashusha sana presha,labda unywe na kahawa baada ya kuinywa dawa hii ili kuipandisha tena presha!
Mkuu MGASON Tumia Kitunguu saumu kwa muda wa wiki moja kisha uje hapa utupe feedback sio unatumia siku moja au mbili tu.
Unajuwa kuna watu wengine tunawapa dawa na ushauri wanadharau mpaka waende Hospitalina inawezekana pia ugonjwa wake umekuwa sugu kwa kutumia dawa nusunusu. kuwa makini mgonjwa, maliza dozi, kama huelewi uliza.
Nyinyi ndo mna matatizo ushauri wenu hauna uhakika na pia ni nusu nusu kwa mfano huko juu mlimshauri hiviUnajuwa kuna watu wengine tunawapa dawa na ushauri wanadharau mpaka waende Hospitali
watowe pesa za kuwapa Ma Daktari ndio wanaweza kuamini na kufuata ushauri wa Ma-Daktari lakini hapa ninawasaidia watu kuwapa
dawa za bure na ushauri wa bure hawaufuati ahhhhhhh Wa-Tanzania tuna matatizo sana.
hali itarudi kawaida ya kutosikia kutotapika na kichefuchefu kiswahili wewe kinakugonga nini? unatoka mji gani hapo Tanzania? Dawa unatakiwa utumie siku 3 au siku 7 sio siku moja. kuna dawa gani ukatumia siku 1 ukapona? Kama huelewi kwanini huulizi Maswali? umekatazwa usiulize kwani Maswali?Nyinyi ndo mna matatizo ushauri wenu hauna uhakika na pia ni nusu nusu kwa mfano huko juu mlimshauri hivi
akishakula hivyo vitunguu swaumwu "Ukishakaa kama dk 15 hali yako itarudi
kawaida.Baada ya SIKU 1,utaona minyoo
hakuna tena na fungus wote wamekauka!
Kwisha kabisa!!!!" haya yey amekaa baada ya dk 15 hali haijarud kawaida pia baada ya siku 1 minyoo iko palepale na fungus hawajakauka. Sasa ye si ndo alichokiona na si akawapa feedback kama alivyoelekezwa!!! kuweni makini sana na dawa zenu dawa yoyote iwe ya asili au nyengineyo hakikisha unaifanyia utafiti usiopungua miaka mitano kwa wagonjwa wengi wa namna mbalimbali na uweke matokeo yako katika takwimu na mkumbuk kuwa TIBA YA ASILI NI TIBA YA MWILI PIA msiwe na dhana ya kuwa tiba ya asili ni ya kisaikolojia.
Hizi zipo kama karanga lakini pia ni dawa unaweza kukaanga kama karanga lakini piHizi ni karanga za kidhungu?
Jamani msaada kwa anayejua dawa nzuri ya mba,,Iwe ya kienyeji au vyovyote,,naombeni ushauri...
Tafuta mafuta yanaitwa confidence,yapo kwenye kopo dogo jeupe,mba zitakua historia kwako