Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.........Regency hospital Dr. Mgonda, huwa anakuwepo jumanne, KCMC pia kuna daktari specialist wa ngozi.
Hujatuambia wewe ni Mwanamke au Mwanamme? Huenda ukawa na Mba kichwani wakati unapokuwa na hizo nywele ndefu huo mba ndipo hujitokeza na kuwashwa washwa katika kichwa chako hebu jaribu kupaka Hina katika hizo Nywele zako huenda hayo matatizo yakaondoka. Uliwahi kwenda kumuona Daktari..............?Salaam wanajamii.
Nina matitizo ya kichwa kuwasha kwa muda mrefu sana(miaka 5). Nywele zikiwa ndefu ndio kichwa kinavyozidi kuwasha. muwasho huambatana na maumivu makali. Nikinyoa nywele afadhali hupatikana kidogo. Je huu ni ugonjwa gani? nini tiba yake?
Achana na mitishamba ... nenda muhimbili kamuone dermatologist