Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,299 Reaction score 40,929 Apr 2, 2021 #21 Kwetu kwa muda wa msiba ni kulala juu ya mkeka tu,japo sababu kubwa ni uwingi wa watu vitu vyote huwekwa chumba kimoja kupata nafasi ya kulala........ Zamani hata viatu or ndala ilikuwa hairuhusiwi kwa wafiwa, tangu early 1990's huo upuuzi uliachwa
Kwetu kwa muda wa msiba ni kulala juu ya mkeka tu,japo sababu kubwa ni uwingi wa watu vitu vyote huwekwa chumba kimoja kupata nafasi ya kulala........ Zamani hata viatu or ndala ilikuwa hairuhusiwi kwa wafiwa, tangu early 1990's huo upuuzi uliachwa
D dmkali JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 12,283 Reaction score 23,443 Apr 2, 2021 Thread starter #22 Smart911 said: Kwa hili la kukuataza kusheherekea Pasaka wamekosea sana... Click to expand... Hakuna sheria inayomlazimisha mtu kununa au kulia! Haya ni matendo ya hiari
Smart911 said: Kwa hili la kukuataza kusheherekea Pasaka wamekosea sana... Click to expand... Hakuna sheria inayomlazimisha mtu kununa au kulia! Haya ni matendo ya hiari
K kamwamu JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 4,624 Reaction score 3,404 Apr 2, 2021 #23 dmkali said: Inashangaza kwakweli, wao walipiga makofi na vigelegele, wakati huo inje BENDERA za ziko NUSU MLINGOTI! Sasa iweje iwe marufuku wengine kusherekea pasaka wakati katiba ipo wazi? Click to expand... Na kila mteule baada yakuapishwa alifanya sherehe kubwa. Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
dmkali said: Inashangaza kwakweli, wao walipiga makofi na vigelegele, wakati huo inje BENDERA za ziko NUSU MLINGOTI! Sasa iweje iwe marufuku wengine kusherekea pasaka wakati katiba ipo wazi? Click to expand... Na kila mteule baada yakuapishwa alifanya sherehe kubwa. Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app