Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna njia ya rahisi ya kupata pesa kamwe haipo
Mkuu biashara hii ina ukweli na utapeli pia. Especially kwa pesa ya rupiah Kuna uhitaji wa pesa hiyo na uhitaji huo umezaa matapeli. Binafsi nimewahi kuona watu wamepata pesa nyingi baada ya kuuza rupiah lakini pia nimewahi kuona watu wametapelia pesa nyingi kupitia pesa hiyo ya rupiah.Bila kupoteza muda kwenye mada.
Najua wengi mshasikia sana mambo ya kutafuta sarafu flani ya zamani na kuahidiwa kupewa donge nono la pesa.
Kwanini pesa hiyo inunuliwe kwa pesa nyingi hivyo? Utaambiwa ni dawa, madini au ina kazi maalumu.
Kwa sasa kuna page hapo Insta inajitangaza kutafuta hazina za Kijermani za kale ni vitu vingi wanasema zikiwemo hizo coins.
Jambo la kujiuliza bank zote duniani hazina hii sarafu kwa dau hilo kweli? Na ina kazi gani? Labda wataiweka kwenye majumba ya makumbusho kwa ajili ya utalii, je ni kweli? Si kweli kwani kuna watu wanazo na wamecoment lakini hakuna Mrejesho au jinsi ya kukabidhiana.
UTAPELI UKO HIVI
Wanajipanga watu kadha atokezaa mtu mwenye sarafu na mwingine anatangaza kuitafuta hii kwa dau kumbwa labda mil 10, akitangaza vijana wataingia mtaani kuisaka, mwingine anajifanya anajua mwenye nayo akitaka ahadi ya pesa pindi akionyesha. Wanakubaliana kwenda kwa mwenye nayo inaonyeshwa wanapatana labda mimi nakupa mil 2
Anapigiwa bosi simu kuhakiki je unaitaka kweli? Anajibu ndio naitaka. Hapo vijana washapata uhakika hata kama hawana pesa lazima wakakope sababu wana uhakika na pesa tena ndefu. Unaingia mkopo unakwenda kulipia ile sarafu baada ya kulipa sasa uko na mtangaza tenda kwenda kwa boss kukabidhi sarafu ili upewe mil 10.
Unafika kwa boss anakwambia kashapata na haitaji tena nyingine, unapunguza dau hadi mil 2 ili kurudisha pesa yako anakataa katu kata.
Wanakwenda kwa mwenye sarafu kujaribu kurudisha anakwambia yeye mwenyewe alinunua kwa sababu ilikua inatafutwa na pesa kashatumia. Mpaka hapo hujatapeliwa? Umenunua sarafu ya sh 100 kwa mil 10 hujaishia jela?
Jambo la kutafakari huwezi kupata pesa nyingi kwa muda mfupi lazma uumie tu.
Wenye sarafu za Kijermani dili hilo hapo. Mimi ninayo tayari.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji478][emoji478][emoji478][emoji478][emoji478][emoji478][emoji477][emoji477][emoji477][emoji477]Mkuu biashara hii ina ukweli na utapeli pia. Especially kwa pesa ya rupiah Kuna uhitaji wa pesa hiyo na uhitaji huo umezaa matapeli. Binafsi nimewahi kuona watu wamepata pesa nyingi baada ya kuuza rupiah lakini pia nimewahi kuona watu wametapelia pesa nyingi kupitia pesa hiyo ya rupiah.
Hivyo usiseme 100% kuwa biashara hiyo ni ya kitapeli. Niliijalibu pia biashara hiyo ndiyo nikabaini ya kuwa kuna ugumu mkubwa sana ndani yake kwani nilikutana na mtu sahihi mwenye uhitani wa rupiah ambae alikuwa ni mjerumani na alikuwa ni padri baada ya kunielezea masharti ya rupiah zinazohitajika ilinibidi niweke daluga chini.
Lakini hadj kufikia hapo ni kweli nilikuwa nimepoteza pesa nyingi. Hadithi yenyewe ilikuwa hivi÷
Nilikuwa na kundi langu tunaitafuta rupiah hiyo ya mtu mwenye helmet na juu yake Kuna ndege. Tukampata msukuma m1 akasema amewahi kumuona mama yake anayo. Tukamshauri amuombe mama yake hiyo pesa tukatajilike. Jamaa alitumia mda mrefu sana kumshauri mama yake nae mama huyo akasema mwambie mwenzio m1 ambae ni mtu mzima aje nimpe masharti ya pesa hii na ndiye ntakaemkabidhi wewe ni mtoto mdogo hutayaweza masharti yake. Mimi ndiye nilikuwa mtu mzima zaidi ya wote hivyo nikateuliwa mimi kwenda kuonana na mama huyo.
Nikaonana na mama falagha akaniuliza ya kuwa nina uhakika wa kwamba mtu niliyenae ni mtu sahihi na siyo wezi wa pesa za rupiah? Mimi nilimwambia kuwa ni mtu sahihi Kisha nikamuunganisha na mhusika akaongea nae wakahojiana maswali kadha wa kadha wote wakaridhia kuwa biashara itafanyika. Mama huyo aliniambia kwamba pesa hiyo ni msaada mkubwa sana kwake ameamua kuitoa ili kumsaidia kijana wake lakini wenzake anaoshirikiana nao katika matumizi ya pesa hiyo watamlaumu sana. Mama nilimuuliza manufaa ya pesa hiyo kwake akasema haina maana kuniambia bali nielewe tu kwamba pesa hiyo ni ya msaada kwao.
Tukapanga siku ya safari mama akasema katika safari hiyo ni lazima na yeue awepo kwamba sisi hatuna uwezo wa kuibeba na kuisafirisha pesa hiyo. Tukakubaliana na tukaanza safari. Katika kundi letu mimi ndiye nilikuwa na uwezo qa kipesa hivyo ilinibidi nifadhli safari hiyo tukiwa jumla ya watu 7. Tumefika kwa mhusika mkoa wa kagera ikiwa sisi tumetokea dodoma na mmiliki wa mzigo timempitia nzega tabora. Mwenyeji wetu alitupokea vizuri sana akatulipia hotel na chakula kwa usiku huo. Kesho yake tulienda ofisini kwake akaomba tuingie ndani watu wa2 hivyo niliingia mimi na bibi. Akaomba mzigo akakabidhiwa akafanya uchunguzi wake Kisha akasema hataichukua rupiah hiyo kwa sababu imeua. Ilikuwa ni msamiati mgumu sana kwangu. Bibi huyo akasema ya kwamba ni kweli rupiah hiyo imeua. Mtaalam akasema ataongea na mhusika ambae yupo nje ya nchi ambae yeye ana uwezo wa kushughulima na rupiah zilizoua kisha atatupatia jibu. Alikuwa ni mtu mwema akaturudisha hotelini akatulipia chakula na hotel kwa siku hiyo na akatukatia nauli tukarudi makwetu
Baada ya miezi m4 akanipigia cm kuwa tuipeleke hiyo rupiah mhusika amekuja. Pa1 na utapeli hii biashara kuzungukana ni kugusa tu. Hivyo mimi sikuona sababu ya kuwajulisha wenzangu. Nikapanda gari mpaka mzega nikaonana na dogo nikamwelezea Kisha tukaenda kwa bibi. Bibi alivyoniona alibadilika sura akaonyesha sura ya kunikasilikia. Kijana wake akamwelezea kuhusu ujio wangu nae bibi akasemwambia kijana wake atoke tuongee sisi wawili. Nae kijana akatoka. Bubi akaniambia kwamba tulivyoondoka na pesa hiyo wenzie walijua na wamempa adhabu kali sana. Hivyo hayuko tayari kuitoa pesa hiyo. Na akaniamuru nitoke hapo kwake.
Nilimwambia kijana wake nae akamrudia mama yake kumuomba mama akasema tayari amenipa majibu hivyo hana la kuongea nae. Niliondoka na nikampigia mtaalam na kumwelezea scenario hiyo. Kisha nikataka kujua ni kwa nini mama huyo alinipa majibu hayo. Nae mtaalam alinipa majibu ambayo yalinipelekea niachane kabisa na biashara hiyo
Hivyo ni kweli kwamba biashara hiyo ina ukweli, utapeli na dhuluma ya kutosha
Afu watu hao hawashauriki kabisa, mpaka apigwe ndio akili inakujakuna jamaa yangu alilizwa 25m mwaka 2014, ila kila siku nikimshauri aachane na hayo makitu hakunisikia, jamaa aliokuwa nao baada ya hela kwisha kila mmoja akatoweka, yaani alikuwa anaambiwa lete nauli kias fulani tumeambiwa kuna mzigo mkoa fulani, jamaa anatoa nauli labda laki 2, jamaa wakiachana wanagawana wanaenda majumbani kwao, wanakaa kama week mbili wanampigia mzigo tunao, wakipeleka kwa bos wanaambiwa sio wenyewe watapewa 50k, kumbe 50 ni ile aliyotoa nauli, jamaa wanakuwa wametengeneza 150k, mara nyingine wanabadili mbinu, ilienda hvo mpaka jamaa akamaliza 25m aliyolipwa baada ya kampuni aliyokuwa anafanya kazi saudia kusitisha mkataba wake.
Yes,I do.How the stock market works.
Once upon a time in a village, a man appeared and announced to the villagers that he would buy monkeys for $10 each.
The villagers, seeing that there were many monkeys around, went out to the forest and started catching them. The man bought thousands at $10 and as supply started to diminish, the villagers stopped their effort.
He further announced that he would now buy at $20. This renewed the efforts of the villagers and they started catching monkeys again.
Soon the supply diminished even further and people started going back to their farms.
The offer increased to $25 each and the supply of monkeys became so little that it was an effort to even see a monkey, let alone catch it!
The man now announced that he would buy monkeys at $50! However, since he had to go to the city on some business, his assistant would now buy on behalf of him.
In the absence of the man, the assistant told the villagers; “Look at all these monkeys in the big cage that the man has collected. I will sell them to you at $35 and when the man returns from the city, you can sell them to him for $50 each.”
The villagers rounded up with all their savings and bought all the monkeys. Then they never saw the man nor his assistant, only monkeys everywhere!
Now you have a better understanding of how the stock market works.
Tunashukuru kwa kutupanga, yaani ukisikia stelingi kakutana na jambazi kuu sasa kabla hawajagusana hata muvi ikaisha!Mkuu biashara hii ina ukweli na utapeli pia. Especially kwa pesa ya rupiah Kuna uhitaji wa pesa hiyo na uhitaji huo umezaa matapeli. Binafsi nimewahi kuona watu wamepata pesa nyingi baada ya kuuza rupiah lakini pia nimewahi kuona watu wametapelia pesa nyingi kupitia pesa hiyo ya rupiah.
Hivyo usiseme 100% kuwa biashara hiyo ni ya kitapeli. Niliijalibu pia biashara hiyo ndiyo nikabaini ya kuwa kuna ugumu mkubwa sana ndani yake kwani nilikutana na mtu sahihi mwenye uhitani wa rupiah ambae alikuwa ni mjerumani na alikuwa ni padri baada ya kunielezea masharti ya rupiah zinazohitajika ilinibidi niweke daluga chini.
Lakini hadj kufikia hapo ni kweli nilikuwa nimepoteza pesa nyingi. Hadithi yenyewe ilikuwa hivi÷
Nilikuwa na kundi langu tunaitafuta rupiah hiyo ya mtu mwenye helmet na juu yake Kuna ndege. Tukampata msukuma m1 akasema amewahi kumuona mama yake anayo. Tukamshauri amuombe mama yake hiyo pesa tukatajilike. Jamaa alitumia mda mrefu sana kumshauri mama yake nae mama huyo akasema mwambie mwenzio m1 ambae ni mtu mzima aje nimpe masharti ya pesa hii na ndiye ntakaemkabidhi wewe ni mtoto mdogo hutayaweza masharti yake. Mimi ndiye nilikuwa mtu mzima zaidi ya wote hivyo nikateuliwa mimi kwenda kuonana na mama huyo.
Nikaonana na mama falagha akaniuliza ya kuwa nina uhakika wa kwamba mtu niliyenae ni mtu sahihi na siyo wezi wa pesa za rupiah? Mimi nilimwambia kuwa ni mtu sahihi Kisha nikamuunganisha na mhusika akaongea nae wakahojiana maswali kadha wa kadha wote wakaridhia kuwa biashara itafanyika. Mama huyo aliniambia kwamba pesa hiyo ni msaada mkubwa sana kwake ameamua kuitoa ili kumsaidia kijana wake lakini wenzake anaoshirikiana nao katika matumizi ya pesa hiyo watamlaumu sana. Mama nilimuuliza manufaa ya pesa hiyo kwake akasema haina maana kuniambia bali nielewe tu kwamba pesa hiyo ni ya msaada kwao.
Tukapanga siku ya safari mama akasema katika safari hiyo ni lazima na yeue awepo kwamba sisi hatuna uwezo wa kuibeba na kuisafirisha pesa hiyo. Tukakubaliana na tukaanza safari. Katika kundi letu mimi ndiye nilikuwa na uwezo qa kipesa hivyo ilinibidi nifadhli safari hiyo tukiwa jumla ya watu 7. Tumefika kwa mhusika mkoa wa kagera ikiwa sisi tumetokea dodoma na mmiliki wa mzigo timempitia nzega tabora. Mwenyeji wetu alitupokea vizuri sana akatulipia hotel na chakula kwa usiku huo. Kesho yake tulienda ofisini kwake akaomba tuingie ndani watu wa2 hivyo niliingia mimi na bibi. Akaomba mzigo akakabidhiwa akafanya uchunguzi wake Kisha akasema hataichukua rupiah hiyo kwa sababu imeua. Ilikuwa ni msamiati mgumu sana kwangu. Bibi huyo akasema ya kwamba ni kweli rupiah hiyo imeua. Mtaalam akasema ataongea na mhusika ambae yupo nje ya nchi ambae yeye ana uwezo wa kushughulima na rupiah zilizoua kisha atatupatia jibu. Alikuwa ni mtu mwema akaturudisha hotelini akatulipia chakula na hotel kwa siku hiyo na akatukatia nauli tukarudi makwetu
Baada ya miezi m4 akanipigia cm kuwa tuipeleke hiyo rupiah mhusika amekuja. Pa1 na utapeli hii biashara kuzungukana ni kugusa tu. Hivyo mimi sikuona sababu ya kuwajulisha wenzangu. Nikapanda gari mpaka mzega nikaonana na dogo nikamwelezea Kisha tukaenda kwa bibi. Bibi alivyoniona alibadilika sura akaonyesha sura ya kunikasilikia. Kijana wake akamwelezea kuhusu ujio wangu nae bibi akasemwambia kijana wake atoke tuongee sisi wawili. Nae kijana akatoka. Bubi akaniambia kwamba tulivyoondoka na pesa hiyo wenzie walijua na wamempa adhabu kali sana. Hivyo hayuko tayari kuitoa pesa hiyo. Na akaniamuru nitoke hapo kwake.
Nilimwambia kijana wake nae akamrudia mama yake kumuomba mama akasema tayari amenipa majibu hivyo hana la kuongea nae. Niliondoka na nikampigia mtaalam na kumwelezea scenario hiyo. Kisha nikataka kujua ni kwa nini mama huyo alinipa majibu hayo. Nae mtaalam alinipa majibu ambayo yalinipelekea niachane kabisa na biashara hiyo
Hivyo ni kweli kwamba biashara hiyo ina ukweli, utapeli na dhuluma ya kutosha
yaani jamaa katuona viazi mbatata kabisa wallah.Tunashukuru kwa kutupanga, yaani ukisikia stelingi kakutana na jambazi kuu sasa kabla hawajagusana hata muvi ikaisha!
yaani washirika wao sijui huwa wanawalisha nn tu, hela ikishakatika ndo wanastuka.A
Afu watu hao hawashauriki kabisa, mpaka apigwe ndio akili inakuja