ujumbe bora Sana huu, tukumbushane tu

CTX

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
1,273
Reaction score
985
"Ukweli mchungu
Iwapo unawapenda watoto wako, tafuta biashara, si kazi, kwa sababu ukifa watoto wako hawawezi kurithi kazi yako, lakini wanaweza kurithi biashara yako. "Kiuhalisia, ukifa unafanya kazi, bosi wako atamtafuta mtu wa kuziba nafasi hiyo kabla hata hujazikwa. Iwapo familia yako inaishi katika nyumba ya kampuni, watafukuzwa kabla hawajasema lolote. "Kwa hiyo, siku zote ukitoka kazini usiende kutazama televisheni. Nenda nyumbani na ufikiri kuanzisha mradi au biashara yoyote." - Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta.
 
Huwezi kuendelea kama unaanza kuwaza eti utakufa kesho...wapo watu wanafanyakazi mpk umri wa kustaafu na unaweza kufanya biashara ukafa halaf na biashara ikafa vilevile

Duh umefikiri Vizuri kwa upande mwingine wa shilingi. Hakika Mungu ndo aijuaye kesho yetu na vizazi vyetu...hakuna formula yenye uhakika asilimia 100.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…