"Ukweli mchungu
Iwapo unawapenda watoto wako, tafuta biashara, si kazi, kwa sababu ukifa watoto wako hawawezi kurithi kazi yako, lakini wanaweza kurithi biashara yako. "Kiuhalisia, ukifa unafanya kazi, bosi wako atamtafuta mtu wa kuziba nafasi hiyo kabla hata hujazikwa. Iwapo familia yako inaishi katika nyumba ya kampuni, watafukuzwa kabla hawajasema lolote. "Kwa hiyo, siku zote ukitoka kazini usiende kutazama televisheni. Nenda nyumbani na ufikiri kuanzisha mradi au biashara yoyote." - Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta.