Ujumbe huu umeniliza bila kujua kuwa nalia nini!!

Ujumbe huu umeniliza bila kujua kuwa nalia nini!!

Mimi kwakweli huwa najipenda mwenyew kwanza maradufu..kisha nafasi finyu itakayobaki ndio nawapatia na hao wengine....mwambie huyo babu apambane tu na hali Yke aisee""

alamsiki mtoa mada
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kila mtu anatakiwa/ana haki ya kupendwa kwa nafasi yake.
Mama atapendwa kwa nafasi yake ya umama na mke atapendwa kwa nafasi yake ya mke.
 
Mkeo ana kazi sana[emoji23] kama unajipenda wewe kwanza afu panapobakia ndo uwapende wengine si mtihani
anivumilie tu kwakweli...maana ndio udhaifu wangu ""
sasa nitaanzaje kumpenda mtu "" zaidi ya nijipendavyo"" mkuu
 
Back
Top Bottom