Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi kwakweli huwa najipenda mwenyew kwanza maradufu..kisha nafasi finyu itakayobaki ndio nawapatia na hao wengine....mwambie huyo babu apambane tu na hali Yke aisee""
alamsiki mtoa mada
yooooohh"" umeanza "" hahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uko sahihi kabisa JolieKila mtu anatakiwa/ana haki ya kupendwa kwa nafasi yake.
Mama atapendwa kwa nafasi yake ya umama na mke atapendwa kwa nafasi yake ya mke.
Mkeo ana kazi sana[emoji23] kama unajipenda wewe kwanza afu panapobakia ndo uwapende wengine si mtihaniyooooohh"" umeanza "" hahaa
anivumilie tu kwakweli...maana ndio udhaifu wangu ""Mkeo ana kazi sana[emoji23] kama unajipenda wewe kwanza afu panapobakia ndo uwapende wengine si mtihani
Haya banaanivumilie tu kwakweli...maana ndio udhaifu wangu ""
sasa nitaanzaje kumpenda mtu "" zaidi ya nijipendavyo"" mkuu
Mbona umeitikia kiunyonge sana Jolie?Haya bana