Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,112
- 34,951
Mtanzania mwenye kutamani kiwake atembelee kwetu Congo kwanza na akae mwezi mmoja tu atizame wa Congoman wanavyoishi , halafu arudi Tanzania alilie hilo neno la kiwashe
Wakongo man ni Wajinga
Vipi Uturuki niaje hapo?? Hivi umeamua kukaa hapo miaka yoote hiyo?? Ungeenda nchi za western siungekuwa na maendeleo?? Sasa unafanya Uganga tu,Uturuki ni sawa na nchi za kiarab kupoteza muda tu. Kwa miaka uliokaa ungepenya hata Israel ungekuwa mbali ila kwa sasa ushachelewa haiwezekani tena na umri ushakutupo kazi kwelikweli. Waturuki wanauza chip's kariakoo njoo uwe mkalimani.Mtanzania mwenye kutamani kiwake atembelee kwetu Congo kwanza na akae mwezi mmoja tu atizame wa Congoman wanavyoishi , halafu arudi Tanzania alilie hilo neno la kiwashe
Seriously sikujua kama na wewe ni hopeless kama LucasMtanzania mwenye kutamani kiwake atembelee kwetu Congo kwanza na akae mwezi mmoja tu atizame wa Congoman wanavyoishi , halafu arudi Tanzania alilie hilo neno la kiwashe
Kwa ulivhoandika. Hii nchi itaendela kuwatajirisha wahindi,waaarabu na sasa hivi wachina. Nchi inafika mahali Rostam anajiita mtanzania mzawa na watu mnakubali aisee.Mtanzania mwenye kutamani kiwake atembelee kwetu Congo kwanza na akae mwezi mmoja tu atizame wa Congoman wanavyoishi , halafu arudi Tanzania alilie hilo neno la kiwashe
Ila Kongo sio Tanganyika na matatizo ya Kongo sio ya TanganyikaMtanzania mwenye kutamani kiwake atembelee kwetu Congo kwanza na akae mwezi mmoja tu atizame wa Congoman wanavyoishi , halafu arudi Tanzania alilie hilo neno la kiwashe
Hawa wanachojua ni kukata viuno tu kucheza kwasakwasa ndiyo maana hata kakundi kadogo ka waasi kanayumbisha nchi kubwa kama ile, wapumbavu Wacongo utawasikia "papaa nikufe juu ya nini".Mtanzania mwenye kutamani kiwake atembelee kwetu Congo kwanza na akae mwezi mmoja tu atizame wa Congoman wanavyoishi , halafu arudi Tanzania alilie hilo neno la kiwashe