Ujumbe huu uwafikie Watanzania wote wapenda amani

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,112
Reaction score
34,951
Mtanzania mwenye kutamani kiwake atembelee kwetu Congo kwanza na akae mwezi mmoja tu atizame wa Congoman wanavyoishi , halafu arudi Tanzania alilie hilo neno la kiwashe

Your browser is not able to display this video.
 
Mtanzania mwenye kutamani kiwake atembelee kwetu Congo kwanza na akae mwezi mmoja tu atizame wa Congoman wanavyoishi , halafu arudi Tanzania alilie hilo neno la kiwashe

Vipi Uturuki niaje hapo?? Hivi umeamua kukaa hapo miaka yoote hiyo?? Ungeenda nchi za western siungekuwa na maendeleo?? Sasa unafanya Uganga tu,Uturuki ni sawa na nchi za kiarab kupoteza muda tu. Kwa miaka uliokaa ungepenya hata Israel ungekuwa mbali ila kwa sasa ushachelewa haiwezekani tena na umri ushakutupo kazi kwelikweli. Waturuki wanauza chip's kariakoo njoo uwe mkalimani.
 
Mtanzania mwenye kutamani kiwake atembelee kwetu Congo kwanza na akae mwezi mmoja tu atizame wa Congoman wanavyoishi , halafu arudi Tanzania alilie hilo neno la kiwashe

Kwa ulivhoandika. Hii nchi itaendela kuwatajirisha wahindi,waaarabu na sasa hivi wachina. Nchi inafika mahali Rostam anajiita mtanzania mzawa na watu mnakubali aisee.
 
Bora kiwake tu mjikomboe,nipo Malawi na nchi inaenda vizuri hatuna wabinafsi kama tz
 
Baki huko huko kwenye miti shamba, huku hapakufai.

Lakini inaonyesha hata kwenye fani hiiyo pia huna uwezo nako; kama akili yako ni kama hii iliyo kuwezesha kuweka takataka hizi humu jukwaani.

"Mtanzania Halisi"; hivi wewe na Samia Suluhu Hassan mnajitambua kuwa waTanzania HALISI?

Umetupiwa vipesa hapo; halafu na wewe unajiona utakuwa na aina yoyote ya ushawishi katika jamii inayo kandamizwa?
Huto tu "videvu", ni ishara maalum?
 
Nani amekwambia watanzania wanataka fujo , fujo inaletwa na hao viongozi wenu wamboga mboga hawataki kusikia maoni ya wanainchi wamejimilikisha hili taifa ngoja Mungu anene nao
 
Mtanzania mwenye kutamani kiwake atembelee kwetu Congo kwanza na akae mwezi mmoja tu atizame wa Congoman wanavyoishi , halafu arudi Tanzania alilie hilo neno la kiwashe

Hawa wanachojua ni kukata viuno tu kucheza kwasakwasa ndiyo maana hata kakundi kadogo ka waasi kanayumbisha nchi kubwa kama ile, wapumbavu Wacongo utawasikia "papaa nikufe juu ya nini".
Watu wanapambania haki, hata ku-purify dhahabu huwa inapitishwa kwenye moto mkali.
 
We upo Uturuki hujui mambo ya mwendokasi na masisiemu wanakucare usiwapangie wengine na mifano mfu, mwaka huu hamleti clip ya mauaji ya Rwanda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…