UJUMBE KUTOKA BANK JUU YA MISHAHARA

UJUMBE KUTOKA BANK JUU YA MISHAHARA

Mr Q

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
18,046
Reaction score
38,598
ndugu mteja, acha usumbufu wa kuangalia salio mara kwa mara kwan unaweza kusababisha mshahara kuingiaa kwenye account ya mteja mwingine. Tafadhali hakikisha vyeti vyako kabla hujaangalia salio huenda ww ni incomplete!:

ni hayo tu.
tukutane kesho tarehe 24 kwenye kuchukua tu pesa twetu ambatwo tutaishia kulipa madeni kwa mangi.
 
kwa NMB watu wapo kwenye kwaride la kuchukua tu pesa twao
 
Back
Top Bottom