Ujumbe kutoka kwa mpenzi wangu uliponikosesha utamu wa "jimama"

Kama hujui lugha ya kaskazini hutaelewa milele nini kimeongelewa hapo...but kijana acha kushobokea majimama huwezi jua kama mzima kwa sababu mwanamke mwenye akili timamu hawezi eti from nowhere tu mmeonana leo leo kesho akuite ukamto...mbe lazima kuna kuna kitu hapo kama hajawaka huyo sijui ila mshukuru demu wako huwezi jua amekuepushia nini kwa hilo jimama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoko sana braza
 
Ujinga ujinga tu. Hizi kiss and tell nyinyi vijana wa mkoani mtaziacha lini?
 
Back
Top Bottom