Ubaya kwa Makonda ni kuwa hawezi kupata nafasi ya kusemea hayo maana gerezani hawaongei wafungwa na waandishi wa habari. Makosa ya Makonda ni tofauti na hao wengine, yake ni ya kijambazi yasiyostahili kucheleweshwa uraianiKumbe ndio maana watu wanaamini kwamba Membe na Kikwete ni ndugu hawajakutana leo awa washikaji!
Akili ya mwanasiasa uja pale tu anapokuwa nje ya mfumo wa wizi na upigaji kuna siku ata Makonda atakuwa anaongea lugha izi.
Kama ni kweli Riz kaongea haya namkaribisha kwenye ulimwengu mpya wa kuongea ukweli na kutetea watanzania kunakaribia kupambazuka.
Umeishiwa sana dada yangu. Ni nini kilichokukumba? Mbona siku za nyuma hukuwa hivi? Prince aliyepita HAWEZI kuandika kitu kama hiki hata kama amechukizwa namna gani na awamu hii. Kwa nini unamsingizia? Tujitahidi tusifanye JF iwe sehemu ya kuweka uchafu wa kuokoteza kama huu hata kama tuna chuki na serikali. Nasema haya kwa faida ya wote wenye mapenzi mema na JF.Tuwekee mchele basi
Umesoma yote au unakurupuka!Mnamtamani awe Mwenyekiti wa Chadema taifa!
Alikuwa kwenye mahojiano na gazeti la Jamhuri
Manesi waliokuwa na vyeti feki wanahaha kila kona.
Wengine wanaitwa vilaza wapumbavu, vyeti feki
Mtoa mada sijaelewa umetofautisha vipi maneno aliyotamka The Prince na maneno yako. Au kuanzia pale ulipomnukuu mpaka mwisho ni maneno yake
Jesca, acha kutingisha kamguu hako, tulia dawa ikuingie sawasawa.Mnamtamani awe Mwenyekiti wa Chadema taifa!
Mbona amemaliza Masters !
baba kaandikiwa PhD mwana kabebwa fomfoo duuuuu maisha hayaHata hujasoma halafu umekurupuka kuchangia
Hahaha kama nakuona vile ulivyopatwa na aibuMnamtamani awe Mwenyekiti wa Chadema taifa!