Wafia chama bwana kumbe ukishakuwa mfia chama,ukweli kwako inakuwa mwiko?Hata mm km vile cjamuelewa vzr,nahisi mistari ya prince ni michache sana,na inaishia pale kwenye stori ya membe ila mtoa Uzi akaendelea kutiririka yake bila kutofautisha yake na ya Prince
Nafuatilia kujua hatima yake! Ukiwa na kilaza nyumbani kumbe ni aibu! Ni nongwa!! Huyu hapa:- http://196.44.162.33/necta2011/CSEE 2011/s1071.htm
Wafia chama bwana kumbe ukishakuwa mfia chama,ukweli kwako inakuwa mwiko?
Hao ndio wenye chama chao.
Maneno haya yalisemwa na "rais mstaafu"? Hili nakataa!Niwakumbushe kauli moja ya rais mstaafu wa hapa East Africa. Alisema, "chama tawala kitashindwaje? Kikishindwa ni uzembe kwa maana jeshi ni lake na mabunduki ni yake". Unamkumbuka huyo n'nani alisema na akimwambia nani?
Duh kumbe kuna watu wanakula nema ya nchi.. Serious kama kuna mtu anaconnection yakupata cheti cha kidato 4 anicheck pm hata cha division 4 yakwenda chuo nimsave dogo langu
'Masters' ya wapi, Jalalani! Itakuwa na tofauti yoyote na PhD ya maganda ya korosho iliyopatikana bila ya kwenda maabara?Mbona amemaliza Masters !
Kumbe Jesca nae ni kilaza kama baba ake?Ila akifika kwa Jesca damu inakuwa nzito kuliko maji.
Mkuu nilimaanisha hivyo ,yaani why udhani hayo maneno mengine si ya Riz? ni kigezo gani umetumia kupima kuwa haya niya riz na haya hapana?Dah mkuu nitake radhi mkuu,yaan unamaanisha kuwa mm ni mfia Lumumba?....au cjakusoma vzr mkuu?
Mkuu update ya bombardier ipo vipi mpaka usiku huu? 🙏🙏.Nakumbushia tu kuwa raia namba moja yu mzima wa afya, hajafa wala kulazwa..
Pia tunaomba mrejesho wa mkulìma na bombardier..
Tunawasubiri kina sky eclat watujuze...mkulima labda kaingia nayo bondení kimyakimya..Mkuu update ya bombardier ipo vipi mpaka usiku huu? 🙏🙏.
Kuna MTU aliuliza km haya yote aloandika mtoa mada ni maneno ya ya Riz au kuna nukta mahali labda mtoa mada kasahau kuweka,nami nikarudia tena kusoma mada kuna mahali km vile panachanganya,hapaeleweki km ni Riz anaendelea kutiririka au kuna nukta then mtoa mada akaanza kuchangia yake,ni hivyo tu mkuu,ndo nami nikachangia kuwa labda kuna nukta mahali,ila nakusihi usinichanganyage tena kwenye vinyonga wa kijani.hatuendani tabia mkuuMkuu nilimaanisha hivyo ,yaani why udhani hayo maneno mengine si ya Riz? ni kigezo gani umetumia kupima kuwa haya niya riz na haya hapana?
Wanasiasa ni watu wanafiki wanafiki tuKumbe ndio maana watu wanaamini kwamba Membe na Kikwete ni ndugu hawajakutana leo awa washikaji!
Akili ya mwanasiasa uja pale tu anapokuwa nje ya mfumo wa wizi na upigaji kuna siku ata Makonda atakuwa anaongea lugha izi.
Kama ni kweli Riz kaongea haya namkaribisha kwenye ulimwengu mpya wa kuongea ukweli na kutetea watanzania.
Eliimu haina shortcut ndugu, sawa anaweza anzia certificate ila je anao msinği wa kuwezesha kudahiliwa kwa maana sifa? Na je miaka ya kuanzia certificate mpaka degree imebalance?Unaweza ukasoma degree hata kama ulifeli, pengine alianzia certificate, baadae diploma , baada ya hapo degree ,hii ni mifumo halali ya elimu na wengi wameipitia.