Ujumbe kutoka Lamu!

Ujumbe kutoka Lamu!

kumtia mtu selo kisa ni shoga,ni unyanyasaji kwa kweli...
 
Hivi mtu anaweza kuzaliwa gay??
au ni ugonjwa???

Hapo cjui lakini hii ya Lamu ni aghalabu kwa sababu ya madawa ya kuleyva...unaonjeshwa bure kisha unazoea na
kua teja na baadae kama huwezi kuilipia starehe yako, 'unayfnguliwa duka'...Mchezo mchafu sana hawa
jamaa zangu wa 'amu.
 
Back
Top Bottom