C chamajani JF-Expert Member Joined Sep 22, 2010 Posts 552 Reaction score 33 Nov 30, 2010 #21 Raia Fulani said: Kati ya mvua na jua bora nini? Click to expand... We angalia iyo avatar toa hiyo avatar yako
Raia Fulani said: Kati ya mvua na jua bora nini? Click to expand... We angalia iyo avatar toa hiyo avatar yako
Kite Munganga Platinum Member Joined Nov 19, 2006 Posts 1,773 Reaction score 952 Nov 30, 2010 #22 Bujibuji said: Thank God tarakilishi yangu ina mchujo wa picha za kishoga Click to expand... Hata mimi siipati
Bujibuji said: Thank God tarakilishi yangu ina mchujo wa picha za kishoga Click to expand... Hata mimi siipati
Fab JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 757 Reaction score 14 Dec 1, 2010 #23 kumtia mtu selo kisa ni shoga,ni unyanyasaji kwa kweli...
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,150 Reaction score 9,255 Dec 1, 2010 #24 Hivi mtu anaweza kuzaliwa gay?? au ni ugonjwa???
Ab-Titchaz JF-Expert Member Joined Jan 30, 2008 Posts 14,630 Reaction score 4,253 Dec 1, 2010 Thread starter #25 afrodenzi said: Hivi mtu anaweza kuzaliwa gay?? au ni ugonjwa??? Click to expand... Hapo cjui lakini hii ya Lamu ni aghalabu kwa sababu ya madawa ya kuleyva...unaonjeshwa bure kisha unazoea na kua teja na baadae kama huwezi kuilipia starehe yako, 'unayfnguliwa duka'...Mchezo mchafu sana hawa jamaa zangu wa 'amu.
afrodenzi said: Hivi mtu anaweza kuzaliwa gay?? au ni ugonjwa??? Click to expand... Hapo cjui lakini hii ya Lamu ni aghalabu kwa sababu ya madawa ya kuleyva...unaonjeshwa bure kisha unazoea na kua teja na baadae kama huwezi kuilipia starehe yako, 'unayfnguliwa duka'...Mchezo mchafu sana hawa jamaa zangu wa 'amu.