Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Nimeishuhudia Aly ahly kwenye mechi takribani 4 za kiushindani na nilitaka nijiridhishe zaidi kimbinu na kiufundi namna awa mabingwa wa kihistoria wa afrika wanavyocheza kwa sasa, na nilisubilia mechi kabambe ya kiushindani dhidi yake na mamelod!
Nilitaka nione ni namna Gani wanacheza kwenye mechi ya kusaka matokeo ya lazima na nimewaona kwenye mechi zote mbili za mamelod na nikajiridhisha ya kwamba wakikutana na yanga hii BOLI litapigwa na litatembea na kitaumana vizuri sana!
Aly ahly hii ya Sasa sio Aly ahly ya misimu 2 iliyopita, hii ni Aly ahly ambayo kiubora imeshuka kidogo ndio maana imekuwa na kazi ngumu sana kupata matokeo kwa timu ambayo Iko timamu kimbinu,
Aly ahly hii ni rahisi sana kupata matokeo dhidi yake Kama timu yako Ina Kasi, Ina wachezaji wanaojituma, na Ina kocha Bora kimbinu!
Ni jambo ambalo kiufundi nawaona yanga ya gamondi wakichekelea kwa mbali uku wakikoki siraha zao vizuri bila wasi wasi wowote, aina ya uchezaji wa yanga na aina ya uchezaji wa mamelod awapishani sana, mpira wa Kasi na kujituma mwanzo mwisho uku wakichagizwa na wachezaji vijana mafundi nawaona yanga walipata matokeo chanya dhidi ya Aly ahly
Ninasema Tena ninarudia kusema kwa sauti kubwa ya kwamba ""BOLI LITATEMBEA, KITAPIGWA NA KITAUMANA"""
GAMOND TUNAKUACHIA MY WAKO SHUGHULIKA NAE!