ujumbe kwa bodi

ujumbe kwa bodi

jimmymziray

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
816
Reaction score
515
Kuna baadhi ya vyuo wanaanza orientation jumatatu ikiwa ni pamoja na kufanya registration,sasa ikiwa hawajui muamala wao mnataka wajipange vipi na chuo?
 
we unafikiri wote waliopo chuo wanalipiwa na bodi.
nenda chuo acha mbwembwe.
 
Ingekuwa vyema bodi ikatoa majina ya waliopata mikopo na asilimia zake na waliokosa ili watu waanze kujipanga,sio kusubiri mambo ya kushitukiza amabyo mwisho wa siku yanawatesa wnafunzi amabo wanaripoti wakidhani wanapata mikopo na kuambulia patupu.
 
we unafikiri wote waliopo chuo wanalipiwa na bodi.
nenda chuo acha mbwembwe.

Najua wapo wanaojilipia,but hapa nawazungumzia wale wanaotegemea mkopo,kumbuka zaidi ya asilimia 75 ya walioomba chuo kupitia TCU wanategemea mkopo
 
kweli bodi inatakiwa kufanya jambo hili haraka ili watu wajijue ni nini kinafata....
 
bodi wanatarget sana tarehe za kufungua kwa vyuo vya serikali hivyo watatoa majina mwezi huu mwishoni.
 
bodi wanatarget sana tarehe za kufungua kwa vyuo vya serikali hivyo watatoa majina mwezi huu mwishoni.

Sasa,wanatarget,vyuo vya serikali tu,je vyuo vya private,avitambuliki?bodi wanatakiwa kuzingatia ratiba ya vyuo vyote,,waache,,mambo zao hizo,,,,,,,
 
Sasa,wanatarget,vyuo vya serikali tu,je vyuo vya private,avitambuliki?bodi wanatakiwa kuzingatia ratiba ya vyuo vyote,,waache,,mambo zao hizo,,,,,,,

vinatambulika lakini hata vyuo vya serikali wanapata mikopo mapema kabla ya vyuo vya private kwa mda mwingi.
 
Back
Top Bottom