The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
"Msipuuze maoni ya wananchi hata kidogo, Chama kitakachopuuza maoni ya wananchi, kinaweza kikalia kilio asipatikane mtu wa kukisaidia kupangusa machozi, na ninachowaambia CCM ninawambia na vyama vingine vilevile, lazima msikilize wananchi wanasema nini. Kwa sababu kama wote ni sawa na wananchi wanampenda mmoja katika hao kuliko wengine, basi huyo ndiye anayefaa"