Ujumbe kwa Dkt. Slaa: Uungwana ni kitendo, jitokeze ukamtembelee Freeman Mbowe

Huyu Mzee hajajua kwamba siasa zimebadilisha upepo ghafla, waliokuwa wanaishi kama chawa watakuwa na wakati mgumu.
 
Tangu nilipojua kuwa dr Slaa alitelekeza upadri, kisha akatelekeza watoto kwa sababu ya penzi la mke wa mtu na akavunja ndoa....niliacha kumwamini kabisa. Anachposema hakiko moyoni mwake
🤣🤣🤣
 
🐒🐒🐒
Your browser is not able to display this video.
 
Hakuna ulazima wa kumlazimisha, atakwenda akitaka na hatakwenda asipotaka, full stop!
 
Tatizo la slaa bado anadhani bado yupo kwenye siasa za Magufuli! Alipandikizwa kua ukiwa upinzani unapaswa kufungwa au kuuliwa. Inabidi abadilike ataachwa nyuma akiendelea kuwaza siasa za Magufuli.Hizi enzi za Samia
 
Dr Mihogo anazidi kujianika kuwa alikuwa 'mzigo'

 
Nadhani anayetaka kuonana na Mbowe aende bila kushawishiwa, sioni haja yoyote ya kumbembeleza Slaa aende kumuona Mbowe wakati hataki na haoni sababu ya kufanya hivyo. Anaweza kushawishiwa akaenda kinafiki, lakini dhamira yake haitaki.
 
Nadhani anayetaka kuonana na Mbowe aende bila kushawishiwa, sioni haja yoyote ya kumbembeleza Slaa aende kumuona Mbowe wakati hataki na haoni sababu ya kufanya hivyo. Anaweza kushawishiwa akaenda kinafiki, lakini dhamira yake haitaki.

Tayari kidume Slaa alishasema kuwa yeye na Mbowe mara kadhaa walishapeana namba zao za simu ingawa hakuna aliyempiga mwenzie
 
Ze wife hataki kumwona mtu yoyote wa CDM mbele yake, sijui CDM kwa ujumla wao walimfanyaga nini huyu mazee hadi awachukie hivi.
 
Chadema mnachekesha sana maana mnavyomtukuza Mbowe ni kama vile wafuasi wa Mfalme Zumaridi wa Mwanza na kumuamini yeye ni Mungu chini ya Jua.

Kama uliona kuna jambo la kumshauri Dk Slaa kwa nini unaleta humu?

Slaa hana ofisi kwa Moderators wa JF.

Pia DPP alimuachia Mbowe kwa maelekezo ya Mh Rais.
Baada ya maombi kutoka kwa watu na taasisi za kidini.pia akiwemo makamu mwenyekiti wenu Chadema.

Ila mbowe kama mbowe tayari alikuwa amekutwa na kesi ya kujibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…