Mtake radhi shemeji yangu aise.Huyo mwanaume tatizo unakurupuka kuangalia ID [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
Sawa nitamtaka radhi shemeji yenu. [emoji51] [emoji16] [emoji119] [emoji119]Mtake radhi shemeji yangu aise.
Inabidi uje chemba kwanza nikufanyie vetting kabla hujaruhusiwa kuonana na shemeji yangu.Yaani avatar yako imefanana na ustaarabu wako humu ndani ya JF. Kama iyo avatar ni muonekano wako na haujaolewa naomba niwe mumeo tafadhali.
Ndio mkuu!Mkuu KANA!!!!!
Nampenda sana HajarNdio mkuu!
Poa poaInabidi uje chemba kwanza nikufanyie vetting kabla hujaruhusiwa kuonana na shemeji yangu.
Nina imani kaona hapa.mwambie apitie kwangu taratibu zote nitampa
kabisa yaanNina imani kaona hapa.
Mahari tutamuomba atugawie kidogo si ndio?mwambie apitie kwangu taratibu zote nitampa
nimefika tayar nipe maagizo yako(P)icture (M)e rollin... Uje [emoji22] [emoji17] [emoji120]
Hahahaa unamuonesha na dream land kabisa....
kabisa yaan si tuna husika moja kwa mojaMahari tutamuomba atugawie kidogo si ndio?
JAMANI HAWA WALIOKO KWENYE MWEZI WA ASALI MBONA HAWASIKII,WAMEAMBIWA WAACHANE NA SIMU WAENDELEE NA UZALISHAJI MPAKA SABA IISHEShuzi limepata mjambaji
Bora umekuja! Nilikuwa nawaza nitawapata wapi wewe na mumeo Mshana unajua kijiji hakikosi wazee na jambo la heri kama hili kupitia kwa wazee wa kijiji hiki cha JF kama nyie ni lazima ili kupata wepesi...salam zifike kwa mzee piaShuzi limepata mjambaji