mapipando
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,922
- 3,559
Wakati unaangalia plan B chonde chonde hakikisha C na D pia ziko pending maana mshana ana jamaa zake akina Miller huenda akarudi tena kukupora.Kweli mkuu ngoja niangalie plan B
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati unaangalia plan B chonde chonde hakikisha C na D pia ziko pending maana mshana ana jamaa zake akina Miller huenda akarudi tena kukupora.Kweli mkuu ngoja niangalie plan B
DaaahhhWakati unaangalia plan B chonde chonde hakikisha C na D pia ziko pending maana mshana ana jamaa zake akina Miller huenda akarudi tena kukupora.
Nikutakie kila la kheri mkuu,dada Hajar anafahamu kinachoendelea lakini au muda wa yeye kujua bado?Daaahhh
Umenifumbua macho aiseee.
Kuna jamaa yangu Ambiele Kiviele tumechonga mchongo wa kufanikisha hili jambo, nyavu ziko tayari sasa imebaki kunasa kifaa tu na kuanza kukinawirisha mdogo mdogo
Yaani. Nimecheka duuh.Hahahaha kaanzisha uzi ndani ya Uzi.
Hahahaaaa. Ujue sijui kinachoendelea hata. Nieleweshe na mie tupate kwenda sawa.Nikutakie kila la kheri mkuu,dada Hajar anafahamu kinachoendelea lakini au muda wa yeye kujua bado?
Dogo Mwifwa baada ya kuporwa mke na Mshana kaniambia mipango ya kuvuta jiko lingine iko mbioni kukamilika.Hahahaaaa. Ujue sijui kinachoendelea hata. Nieleweshe na mie tupate kwenda sawa.
Ooh. Hata sina habari labda ndio anataka mpaka aone mpango umekamilika na itakuwa hataki yatokee kama ya nyuma. Hahahaaa.Dogo Mwifwa baada ya kuporwa mke na Mshana kaniambia mipango ya kuvuta jiko lingine iko mbioni kukamilika.
Ndio nikawa nimemuuliza weye wajua?
Hahahaa. Hujamuona Mgagaa na Upwa ameuliza kumbe mambo yanaendelea ye alijua yashakwisha. Teh.hajar
mwifwa
Davet mko wapi uzi usife huu nakusalimu Mgagaa na upwa[emoji113]
hahha huu uzi haufi daima tutauenzi ngoj niwaite ndugu zangu kwanzaHahahaa. Hujamuona Mgagaa na Upwa ameuliza kumbe mambo yanaendelea ye alijua yashakwisha. Teh.
Hahahaaaa. Sawa wakija nitag na mie.hahha huu uzi haufi daima tutauenzi ngoj niwaite ndugu zangu kwanza
usijal my dadaHahahaaaa. Sawa wakija nitag na mie.