ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,879
- 41,971
hahha nimecheka mpk watu wamenishangaa ujueUsijali mpendwa,huyu mikononyuma itabidi sasa aihamishie mbele ili asiendelee kubaki nyuma nyuma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahha nimecheka mpk watu wamenishangaa ujueUsijali mpendwa,huyu mikononyuma itabidi sasa aihamishie mbele ili asiendelee kubaki nyuma nyuma.
SanaPamoja sana mkuu
Poa poaKweli mkuu natakiwa nikomae hadi kielewekeOk, next time ubonyeze kitufe cha kuedit na uedit
Kweli mkuu ngoja niangalie plan BHa ha ha ha nakuhurumia maana jamaa anaonekana huwa hafanyagi makosa.
Hivyo wewe tafuta tu mwingine mkuu.
Basi wacha nikamatie hapo hapo wasijeniwahi wajanja, But anaweza kuja huku kubeba box?ukiniona nistue kuna mdogo wetu mmoja tu ndo kabakia
Hahahaa.Hapo itamsaidia pia.
Mkuu wee acha tu ukisikia njiwa amepeperushwa ndio ilivyotokea kwa cha mdeko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahahaa.
atajitahidi ila uwe mkweli tuBasi wacha nikamatie hapo hapo wasijeniwahi wajanja, But anaweza kuja huku kubeba box?
Hapo sasa...wengine.hawana dhamana.atajitahidi ila uwe mkweli tu
hahah umeonaeeHapo sasa...wengine.hawana dhamana.
Mimi siku zote ni mkweli na sina sababu ya kuongopaukhutyatajitahidi ila uwe mkweli tu
Naona hapo Mshana alitumia ile tunguli yake ya first class au funga kaziHahahahahahahahaaaaaa
Couple ya mshana na Dwmiss imeteka majukwaa ya MMU na Chit-Chat takribani mwezi mzima sasa na inaendelea kuimarika kila siku
Hahaha! Poa ila usije nitupa tu,shahidi yangu atakua Mwifwa 😀😀sawa usijal sijui niite shemeji yangu sasa
sawa hamn shid shemeji wew tu
Ukiiona avatar yake nistue na mm nimuoneHajar ,bila shaka huyo mrembo atakua Muslim .
JF nayo inawatu wengi ,sijawah ona hata komenti yake.
Hajar njoo basi
Haina shida swahiba ...wacha nikimuona nakuita.Ukiiona avatar yake nistue na mm nimuone
Poa poa chiefHaina shida swahiba ...wacha nikimuona nakuita.
Hahahaa.
Ukiiona avatar yake nistue na mm nimuone
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Haina shida swahiba ...wacha nikimuona nakuita.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]