Ujumbe kwa Hajar

Ujumbe kwa Hajar

Wakati unaangalia plan B chonde chonde hakikisha C na D pia ziko pending maana mshana ana jamaa zake akina Miller huenda akarudi tena kukupora.
Daaahhh

Umenifumbua macho aiseee.

Kuna jamaa yangu Ambiele Kiviele tumechonga mchongo wa kufanikisha hili jambo, nyavu ziko tayari sasa imebaki kunasa kifaa tu na kuanza kukinawirisha mdogo mdogo
 
Daaahhh

Umenifumbua macho aiseee.

Kuna jamaa yangu Ambiele Kiviele tumechonga mchongo wa kufanikisha hili jambo, nyavu ziko tayari sasa imebaki kunasa kifaa tu na kuanza kukinawirisha mdogo mdogo
Nikutakie kila la kheri mkuu,dada Hajar anafahamu kinachoendelea lakini au muda wa yeye kujua bado?
 
Dogo Mwifwa baada ya kuporwa mke na Mshana kaniambia mipango ya kuvuta jiko lingine iko mbioni kukamilika.
Ndio nikawa nimemuuliza weye wajua?
Ooh. Hata sina habari labda ndio anataka mpaka aone mpango umekamilika na itakuwa hataki yatokee kama ya nyuma. Hahahaaa.
 
hajar
mwifwa
Davet mko wapi uzi usife huu nakusalimu Mgagaa na upwa[emoji113]
 
Back
Top Bottom