Ujumbe kwa Hajar

Hahaha dada Hajar hii comment yako imenifanya nimkumbuke Vladi
Hahahaaaaaa. Kumbuka tu shoga angu.

Ujue kiuhalisia huwezi sema unaye mtu tayari halafu uanzishiwe uzi useme sina yaani utaonekana bonge la mjinga. Mie naona kuanzishiwa uzi siku zote hakuzuwii mtu kuzungumza ukweli wake.

Pia huenda ikawa mleta uzi kashindwa kuingia kule kwa Waziri Mkuu sababu nimekufunga na makufuli hivyo kaamua kuja kufungukia huku labda huenda angebahatika. Teh
 
Maneno matamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…