Ujumbe Kwa Ndugu Zetu Wanaotumika Kama Goons

Ujumbe Kwa Ndugu Zetu Wanaotumika Kama Goons

Waziri Mayai Wa Maradhi

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2026
Posts
409
Reaction score
98
On Friday H.E Rigathi Gachagua alitembea pale Kaptembwa na Arama and Susan Kihika used Odosh na Waingo ku organise vijana kurushia watu mawe na kuiba wapita njia. Nasikia pia vijana wetu wa Nakuru Town East walikua na hao goons wakirusha mawe.

Ndugu zangu ni vizuri muambiwe ukweli. In 2008 wakati post election iliisha watu walitumika kama goons wote wali raundiwa na wadhamani wao na kuzimwa.. Mungich, Kamjesh, Taliban etc wote especially viongozi wao hao goons waliuliwa na wadhamani wao.

Hii serikali ya UDA na projects wote wa Ruto na Gikaria wanaenda home. Na Wakienda home goons mtabakia pekee yenyu. Na kesi zikilipuka hawa hawa kina Arama na Kihika wanawalipa leo kuharibu mali ya watu na kudhulumu wapinzani ndio watawazima kesho juu nyinyi ni witnesses.

Tumia Akili
Usitumike Vibaya.

Reject goonism
 
Back
Top Bottom