Ujumbe kwa Rais Samia; Mwalimu Mkuu wa Kitinku awafukuza shule watoto wa Mzee Salum kwa sababu wanakwenda kuswali siku ya ijumaa

Nyalaka iliotolewa mwaka 1999 inasemaje?
 
Ndo naanza kuzijua sasa mkuu,lakini ndiyo ukweli...Dini ni haki ya kila mtu kuipata....na nchi hii haibagui imeweka uhuru wa kuabudu
Ibugui vipi mbona siku ya mapumziko ni siku ya jumamosi na j pili hili wagaratia waende kanisani kumuabudu mwana wa mariamu,iweje waisilamu wapate masaa 2 tu ya kwenda msikitini tena wanafunzi tu hilo ulioni?
 
Ibugui vipi mbona siku ya mapumziko ni siku ya jumamosi na j pili hili wagaratia waende kanisani kumuabudu mwana wa mariamu,iweje waisilamu wapate masaa 2 tu ya kwenda msikitini tena wanafunzi tu hilo ulioni?
Basi weekend ianzie ijumaa
 
Uloo lukani!!
 
Ijumaa ni siku ya kazi. Mzee aache kuwafanya wanawe wawe watoro.

Kwa nilivyoelewa mimi Mzee anataka ijumaa watoto wake wasiende shule siku nzima. Huku kanuni zinasema ijumaa muda wa waislamu kwenda ibada ni saa sita mchana mpaka saa nane mchana
Huo sio ubaguzi masaa 2 tu huku wakirito wakipewa siku 2 nzima kwa wiiki,jambo hili ilitakiwa wakirito mlitazame upya hata kama ubaguzi sio hivyo jambo hili huko mbeleni mnao waita wajinga siku wakiamka itakuwa mshike mshike masaa 2 kwa siku 2 aabwana
 
Hongera mzee kwa kupambania haki yako ukiwa huko uswekeni.

Ila ratiba za ibada mashuleni mbona zipo, toka niko primary ijumaa kuanzia saa 6 mchana kulikua na dini.

Huenda kipindi cha dini kipo kwenye ratiba ya shule ila haitekelezwi.

Sekondari kulikua na madarasa yalogeuzwa makanisa na waislam walipewa eneo lao la kuswalia lisiloguswa na wengine zaidi yao kwa mujibu wa imani yao, na tuliishi peace sana bila ubaguzi wa aina yoyote ile wa kidini.

Huyu mkuu wa shule ni mpuuzi sana.
 
Uloo lukani!!
Haya unayo yasema kwanza kayasema sheikh wa mkoa singida lakini pia kasema kuwa kaletewa habari hizo yeye kama yeye akufika kujiridhisha kakurupuka tu

Kuhusu kuhamisha watoto wake tumesikiza upande 1 tu uwezi hukumu kwa kuangalia upande 1 tu

Kuhusu kuwepo watoto wakisilaamu shuleni hapo uwenda wapo wengi lakini wamakubali kuonewa yeye ataki kuonewa

Pia kasema kuwa watoto wanaruhusiwa saa 1 jioni hili kupata ukweli inatakiwa kusikiliza pende 2 mwalimu mkuu na mzazi

Pia kuna baadhi ya walimu wa kikirito ni wabaguzi sana kuna mwalimu alikuwa anambagua mwanangu na kumuita majina mabaya kisa kavaa hijabu nikamuonya akazidi kuleta urokole wake nikamtafutia ushahidi ni kamwambia mwanasheria akamuita mbele ya mkulugenzi akaomba radhi vinginevyo kingeota nyasi

Hata wewe unaonekana unachembe chembe za ubaguzi heti al shababu kama ungekuwa mwalimu au uenda ni mwalimu inaonyesha unaubaguzi wa kishenzi dawa yenu kuwatafutia ushahidi na kuwaburuza mahakani kibarua kiote nyasi
 
Tatizo ni Serikali kung'ang'aniza kuwa Lazima watoto wote wasome .Ifute Hilo anayetaka kusoma sawa asiyetaka sawa

Nashukuru Walimu wengi wanaofundisha shule za Serikali mikoa ya Pwani za msingi na sekondary za Serikali walishalijua Hilo hawajali mtoto anayetaka kusoma asome asiyetaka shauri yake

Walimu huko kwingine wazingatie Hilo asiyetaka waachane naye pengine anataka kuwa imamu wa msikiti au kuolewa na Imamu ndio maana shule kwake haoni uzito kuliko msikitini
 
Ndo naanza kuzijua sasa mkuu,lakini ndiyo ukweli...Dini ni haki ya kila mtu kuipata....na nchi hii haibagui imeweka uhuru wa kuabudu
Kuabudu ni siku ya jumapili tu
 
Tungewekewa clip ya Mwalimu Mkuu kabla ya kumjadili naye tumsikilize ana hoja gani juu ya jambo hilo
 
Usimtukane utapata dhambi bure hawa jamaa na elimu ni maji na mafuta hata huyu aliyeleta hii mada hapa anaweza kuwa kichwani siyo haba lakini ulevi wa dini umemvua elimu yote.
 
Usimtukane utapata dhambi bure hawa jamaa na elimu ni maji na mafuta hata huyu aliyeleta hii mada hapa anaweza kuwa kichwani siyo haba lakini ulevi wa dini umemvua elimu yote.
Kifupi Walimu shule za Serikali waache kulazimisha watoto wa Kiislamu kusoma wawaache wenyewe wajiamlie wakitaka kusoma sawa hawataki sawa ila Kwa watoto wa Kikiristo Ruksa kuwalazimisha kusoma na kuwatandika na viboko juu sababu hata majumbani ndio msimami wa Wazazi wao kuwa Lazima wasome Tena sana sio hiari

Waachane kulazimisha watoto wa Kiislamu ni kuleta mitafaruku isiyo na kichwa Wala miguu
 
Usimtukane utapata dhambi bure hawa jamaa na elimu ni maji na mafuta hata huyu aliyeleta hii mada hapa anaweza kuwa kichwani siyo haba lakini ulevi wa dini umemvua elimu yote.
Mwendawazimu nimepata bahati ya kumsikiliza shekhe wa mkoa, huyo mzazi chizi, alafu anajitokeza tena chizi kipeuo cha tisa anaandika eti ujumbe kwa mheshimiwa rais. Upuuzi mtupu
Hakuna mwalimu anayemfuata mtoto wa mtu nyumbani, mtoto akishaletwa shule ni mkataba lazima afuate taratibu za shule kuwa anaanza saa mbili mpaka saa 8 au saa 10. Hakuna kipengele cha watoto kwenda mskitini ijumaa, bali kuna utaratibu wa vipindi vya dini mashuleni
 
Timiza wajibu dai haki!

Kwa nlivomuelewa huyu mzee ijumaa anazuia watoto wasiende shule ili waende msikitini.... ilitakiwa ijumaaa watoto waende shule ikifika muda wa saa 11:20-14:00 ndo wanatakiwa wawe msikitini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…