Ujumbe kwa Rais Samia; Mwalimu Mkuu wa Kitinku awafukuza shule watoto wa Mzee Salum kwa sababu wanakwenda kuswali siku ya ijumaa

Ujumbe kwa Rais Samia; Mwalimu Mkuu wa Kitinku awafukuza shule watoto wa Mzee Salum kwa sababu wanakwenda kuswali siku ya ijumaa

View attachment 2906550

Je Sheria ya nchi inasemaje ? soma hapo chini [emoji116]

View attachment 2906553

ASalam Alaykum,

Hongera nyingi sana kwa ndugu yetu wa imani ya kiislamu kwa jihad kubwa aliejitolea wa ujasiri mkubwa kuongea hayo bila oga na hatimaye natija yake ameamsha usingizi hisiya ya siyo ya viongozi na Mashekh wetu tuu bali hata viongozi wetu wa serikali kuwa kutukumbusha na nyaraka ilyotolewa mwaka 1999. na wizard ya elimu...hatuwezi kujua kiasi ya malipo yake kubwa atapewa na Mwenyeezi Mungu Subhana Wataala. Pia kuwa zindua viongozi wa dini na Mashekh wetu kuweza kutambua makosa yetu kotika kujua haki zetu nyingi tulizo nazo katika Serikali yetu ya Mungano wa Tanzania.

Alhamdulillah.. sasa wanafunzi wa kiislamu wengi watapewa haki yao ya kutimiza ibada sala ya ijuma na sasa itakuwa ni thawabu ja'ariyah kwa huyo bwana.. hata siyo kiongozi wala Sheikh. Bali alikerwa na kuchukua uamuzi binti zake wasiende shule ili waende kutimiza ibada ya salaa ya ijumaa.. kweli Mwenyeezi Mungu Subhana Wataala amempa malipo makubwa ya jitihada zake kupigania haki za wanafunzi wote wapate ruhusa ya kutimiza ibada ya salaa za ijumaa...Ameen

Kweli Alhamdulillah ametupa darasa kubwa sana...tusiogope kusema ukweli kunusuru Dini la
Mwenyeezi Mungu Subhana Wataala na yeye ndie atawalipa .. Ameen
Nyalaka iliotolewa mwaka 1999 inasemaje?
 
Ndo naanza kuzijua sasa mkuu,lakini ndiyo ukweli...Dini ni haki ya kila mtu kuipata....na nchi hii haibagui imeweka uhuru wa kuabudu
Ibugui vipi mbona siku ya mapumziko ni siku ya jumamosi na j pili hili wagaratia waende kanisani kumuabudu mwana wa mariamu,iweje waisilamu wapate masaa 2 tu ya kwenda msikitini tena wanafunzi tu hilo ulioni?
 
Acha upuuzi wako, huyo mjinga mwenzio kwenye video aliyorekodi mwenyewe anaokana akiwa ameshika barua ya wito kutokana na utoro wa watoto wake.
Kwa hiyo watoto wakiislam ktk hiyo shule ni hao wawili tu, kwa hiyo unataka hao watoto siku ya ijumaa wasiende shule,jms na jmpl? Mbona kwa ajirq ijumaa mko maofisini na hamfungui midomo?
Mshauri huyo jamaa yako awapeleke shule ya kiislam lkn shule za serikali zinaendeshwa kisheria.

Analalamika umbali wa kutoka na kwenda shule hilo linahusiana vipi na mkuu wa shule? Huyu chizi kijijini kwake kuna shule lkn kutokana na ujinga wake kagombana na walimu na kisha kuwaamisha watoto wake na kuwapeleka shule iliyoko kilomita 5.
Huyu ndo wale wazazi wapuuzi wanaojificha kwenye kiburi cha dini na kuzalisha watoto wa kwenda kujiunga na Alishabab.
Kama hili jambo likifuatiliwa kwa undani utakuta huyu mzazi anawanyanyasa sana familia yake.
Hawa ndo wale wazazi ambao wanawanyima watoto wao wakike haki ya elimu na baadae kuishia kuwaingilia kimwili
Uloo lukani!!
 
Ijumaa ni siku ya kazi. Mzee aache kuwafanya wanawe wawe watoro.

Kwa nilivyoelewa mimi Mzee anataka ijumaa watoto wake wasiende shule siku nzima. Huku kanuni zinasema ijumaa muda wa waislamu kwenda ibada ni saa sita mchana mpaka saa nane mchana
Huo sio ubaguzi masaa 2 tu huku wakirito wakipewa siku 2 nzima kwa wiiki,jambo hili ilitakiwa wakirito mlitazame upya hata kama ubaguzi sio hivyo jambo hili huko mbeleni mnao waita wajinga siku wakiamka itakuwa mshike mshike masaa 2 kwa siku 2 aabwana
 
Hongera mzee kwa kupambania haki yako ukiwa huko uswekeni.

Ila ratiba za ibada mashuleni mbona zipo, toka niko primary ijumaa kuanzia saa 6 mchana kulikua na dini.

Huenda kipindi cha dini kipo kwenye ratiba ya shule ila haitekelezwi.

Sekondari kulikua na madarasa yalogeuzwa makanisa na waislam walipewa eneo lao la kuswalia lisiloguswa na wengine zaidi yao kwa mujibu wa imani yao, na tuliishi peace sana bila ubaguzi wa aina yoyote ile wa kidini.

Huyu mkuu wa shule ni mpuuzi sana.
 
Uloo lukani!!
Haya unayo yasema kwanza kayasema sheikh wa mkoa singida lakini pia kasema kuwa kaletewa habari hizo yeye kama yeye akufika kujiridhisha kakurupuka tu

Kuhusu kuhamisha watoto wake tumesikiza upande 1 tu uwezi hukumu kwa kuangalia upande 1 tu

Kuhusu kuwepo watoto wakisilaamu shuleni hapo uwenda wapo wengi lakini wamakubali kuonewa yeye ataki kuonewa

Pia kasema kuwa watoto wanaruhusiwa saa 1 jioni hili kupata ukweli inatakiwa kusikiliza pende 2 mwalimu mkuu na mzazi

Pia kuna baadhi ya walimu wa kikirito ni wabaguzi sana kuna mwalimu alikuwa anambagua mwanangu na kumuita majina mabaya kisa kavaa hijabu nikamuonya akazidi kuleta urokole wake nikamtafutia ushahidi ni kamwambia mwanasheria akamuita mbele ya mkulugenzi akaomba radhi vinginevyo kingeota nyasi

Hata wewe unaonekana unachembe chembe za ubaguzi heti al shababu kama ungekuwa mwalimu au uenda ni mwalimu inaonyesha unaubaguzi wa kishenzi dawa yenu kuwatafutia ushahidi na kuwaburuza mahakani kibarua kiote nyasi
 
Tatizo ni Serikali kung'ang'aniza kuwa Lazima watoto wote wasome .Ifute Hilo anayetaka kusoma sawa asiyetaka sawa

Nashukuru Walimu wengi wanaofundisha shule za Serikali mikoa ya Pwani za msingi na sekondary za Serikali walishalijua Hilo hawajali mtoto anayetaka kusoma asome asiyetaka shauri yake

Walimu huko kwingine wazingatie Hilo asiyetaka waachane naye pengine anataka kuwa imamu wa msikiti au kuolewa na Imamu ndio maana shule kwake haoni uzito kuliko msikitini
 
Tungewekewa clip ya Mwalimu Mkuu kabla ya kumjadili naye tumsikilize ana hoja gani juu ya jambo hilo
 
Acha upuuzi wako, huyo mjinga mwenzio kwenye video aliyorekodi mwenyewe anaokana akiwa ameshika barua ya wito kutokana na utoro wa watoto wake.
Kwa hiyo watoto wakiislam ktk hiyo shule ni hao wawili tu, kwa hiyo unataka hao watoto siku ya ijumaa wasiende shule,jms na jmpl? Mbona kwa ajirq ijumaa mko maofisini na hamfungui midomo?
Mshauri huyo jamaa yako awapeleke shule ya kiislam lkn shule za serikali zinaendeshwa kisheria.

Analalamika umbali wa kutoka na kwenda shule hilo linahusiana vipi na mkuu wa shule? Huyu chizi kijijini kwake kuna shule lkn kutokana na ujinga wake kagombana na walimu na kisha kuwaamisha watoto wake na kuwapeleka shule iliyoko kilomita 5.
Huyu ndo wale wazazi wapuuzi wanaojificha kwenye kiburi cha dini na kuzalisha watoto wa kwenda kujiunga na Alishabab.
Kama hili jambo likifuatiliwa kwa undani utakuta huyu mzazi anawanyanyasa sana familia yake.
Hawa ndo wale wazazi ambao wanawanyima watoto wao wakike haki ya elimu na baadae kuishia kuwaingilia kimwili
Usimtukane utapata dhambi bure hawa jamaa na elimu ni maji na mafuta hata huyu aliyeleta hii mada hapa anaweza kuwa kichwani siyo haba lakini ulevi wa dini umemvua elimu yote.
 
Usimtukane utapata dhambi bure hawa jamaa na elimu ni maji na mafuta hata huyu aliyeleta hii mada hapa anaweza kuwa kichwani siyo haba lakini ulevi wa dini umemvua elimu yote.
Kifupi Walimu shule za Serikali waache kulazimisha watoto wa Kiislamu kusoma wawaache wenyewe wajiamlie wakitaka kusoma sawa hawataki sawa ila Kwa watoto wa Kikiristo Ruksa kuwalazimisha kusoma na kuwatandika na viboko juu sababu hata majumbani ndio msimami wa Wazazi wao kuwa Lazima wasome Tena sana sio hiari

Waachane kulazimisha watoto wa Kiislamu ni kuleta mitafaruku isiyo na kichwa Wala miguu
 
Usimtukane utapata dhambi bure hawa jamaa na elimu ni maji na mafuta hata huyu aliyeleta hii mada hapa anaweza kuwa kichwani siyo haba lakini ulevi wa dini umemvua elimu yote.
Mwendawazimu nimepata bahati ya kumsikiliza shekhe wa mkoa, huyo mzazi chizi, alafu anajitokeza tena chizi kipeuo cha tisa anaandika eti ujumbe kwa mheshimiwa rais. Upuuzi mtupu
Kifupi Walimu shule za Serikali waache kulazimisha watoto wa Kiislamu kusoma wawaache wenyewe wajiamlie wakitaka kusoma sawa hawataki sawa ila Kwa watoto wa Kikiristo Ruksa kuwalazimisha kusoma na kuwatandika na viboko juu sababu hata majumbani ndio msimami wa Wazazi wao kuwa Lazima wasome Tena sana sio hiari

Waachane kulazimisha watoto wa Kiislamu ni kuleta mitafaruku isiyo na kichwa Wala miguu
Hakuna mwalimu anayemfuata mtoto wa mtu nyumbani, mtoto akishaletwa shule ni mkataba lazima afuate taratibu za shule kuwa anaanza saa mbili mpaka saa 8 au saa 10. Hakuna kipengele cha watoto kwenda mskitini ijumaa, bali kuna utaratibu wa vipindi vya dini mashuleni
 
Timiza wajibu dai haki!

Kwa nlivomuelewa huyu mzee ijumaa anazuia watoto wasiende shule ili waende msikitini.... ilitakiwa ijumaaa watoto waende shule ikifika muda wa saa 11:20-14:00 ndo wanatakiwa wawe msikitini
 
Back
Top Bottom