Ujumbe kwa wanafunzi wa vyuoni

Ujumbe kwa wanafunzi wa vyuoni

saddyy

Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
58
Reaction score
54
Najua hupendi kusoma jumbe ndefu kama hii, ila tafadhari isome.

Ulipochagulia kwenda chuo you had a lot of expectations, inawezekana ulitoka na idea zako za kuwa wa kwanza class km ulivyokuwa ukiwaza enzi za sekondari....

My dear brother n sister, University life is more than that.

Chuo ni sehemu unayotakiwa kufanya zaidi ya kusoma [Do beyond studying]. Best students huwa wanachangamoto zao kitaa, maana wengi wao wali sacrifice kila kitu ili wapate 1st class... Wakasahau kitaa hakitambui GPA muda wote.

Wakija mtaani wanapagawa kuona wenye gentle wanafanya vizuri ktk maisha kuliko wao.... Ukitaka kuishi vizur kitaa baada ya kugraduate usitumie notsi zako za chuo kitaa.

Best students wenye MaGPA yao huwa wanapanic baada ya kuona hawana skill yoyote ile zaid ya gpa.

Ila ukwel ni kwamba, ukiwa chuo try to live life beyond lecture notsi and GPA.

Do some business, try to take leadership challenges..... Engage urself in youth clubs/networks both on and off campus... Find an org you can "VOLUNTEER" with during your stay at college. And you will be ten miles away those guys who are fresh graduates......

You will have something of an added value that will place you at the frontline ukifika kitaa.

Simaanish upotezee kitabu, NO. But do something extra, try to explore ur potentialities beyond books.

And u will always be the best.
 
UJUMBE KWA WANAFUNZI WA VYUONI

Thanks mkuu! ,ujumbe umeeleweka hata mm hayo ndo mawazo nlyo nayo kichwan
 
Yah uko sawa coz wengi tunadhani gpa kubwa ndo kila kitu kumbe hali halisi ya life haipo hvyo
 
Saadyy umesema kitu cha kweli kwani kukaa chuoni na kukomaa na kitabu peke yake huondoa uwezo wa utendaji kazi na ufikirivu! Hii inawalenga wale wanaokaa on campus, na kwa wale wakaao off campus wana nafasi kubwa ya kufanya mambo mengine ya uzalishaji mali.

Mfano kama mwanafunzi unasoma shahada ya elimu unaweza kuomba ajira ya muda katika shule za sekondari za umma ama private na unakuwa unalipwa chochote ambacho kitakusadia katika maisha yako na vilevile unapata uzoefu kazini.
 
Hapo sawa.vijana wengi hupambana kupata gpa nzuri huku wakisahau kutafsiri gpa zao ktk vitendo.taifa linakufa bila msada
 
Akili za kuambiwa changanya na zako

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
well done!

umezungumzia something good, dt can help them in the struggle of life. ujasiriamali ni kitu kzr san, ht bda ya kupata ajira kwan inaongeza kipato so ukiwa chuo unaweza kufanya biashara k.m.v. kuuza vocha, viatu. n.k
 
binafsi napga education….. ila ni mwaka wa pili sasa nafundisha shule jirani na nyumbani napata nachopata and life goes on,
 
Kuna jamaa ananihamasisha sana huyu alikuwa UDSM alijihusisha na mambo mengine zaid ya kusoma alianza na mtaji kidogo wa kusambaza rimu kwenye steshenar za chuo hatimae akafanikiwa na sasa ana mpango wa kufungua kampun ana gari 2 ana duka kubwa la eletronik mabibo ila akiwa mwaka wa pili aliamua kuachana na chuo jambo ambalo naona haikuwa uamuz mzur
 
Hakika elimu ya chuo sio yakung'ang'ana na namba, bali kuna mengi ya kujifunza ili uionyeshe jamii kuwa umeelimika.
 
Asiyekubali huo ukweli ataukubali akija mtaani baada ya kumaliza chuo. ndipo atatamani boom lijirudie!
 
Saddyy uko sahihi kabisa 100% niko DIT mwaka wa 3 pia najishughulisha na michakato mingine ya kutafuta pesa kama kuuza pembejeo za kilimo n.k
 
Unaakili sana mtoa mada u just imagine mtu anatokea sijui tandahimba huko anakuja somea Morogoro Sua lkn miaka yote mitatu hajawahi fika dar, GPA kubwa lkn hajui hata kitu kimoja kinacho endelea nchin sasa hiv aiseee kuna mambo yanachekesha
 
Nimeupenda sana ujumbe wako, japo umecode switch sana lugha
 
upo sahihi kabisa mkuu. naomba msaada wa maelezo namna ya kushirik shindano liloazishwa na DSE kwa wanafunz wa vyuoni, npo chuo cha SAUT-mtwara
 
Back
Top Bottom