Ujumbe kwa wanandoa watarajiwa!

Asante Babu DC,
Ni ujumbe muhimu kwangu na umeuleta wakati muafaka,
Ubarikiwe babu.

Poa Canta,

Hebu basi tumegee kidogo...

Wewe ndo uko level gani sasa? Chekechea (vidudu), shule ya msingi, upili au chuo??

Babu DC!!
 
There you are Lizzy,

Naona some umelipata kweli kweli....

Ndiyo maana tumeimbishwa sana huko nyuma...Talk, talk, talk, talk, talk,talk, talk, talk, talk...........!!!

Babu wengine utasikia wanasema hata cha kuongelea hawana na bado wanajitambulisha kwamba wapo kwenye mahusiano. Sijui hapo hua wanategemea nini haswa!!


Marudio ya theory au praktiko??
Hahahaha. ,
Ummmhh . . . theory na practical ndio nahangaika nayo sasa hivi. Ngoja tuone matokeo.
 

Halafu usije kujiingiza kwenye mtego wa kutunza vitu moyoni kama yule bibi wa Titanic!!

Sharing is not only caring but also healing!!

Ndiyo maana tumeamua kuweka kambi hapa MMU!!
 
Halafu usije kujiingiza kwenye mtego wa kutunza vitu moyoni kama yule bibi wa Titanic!!

Sharing is not only caring but also healing!!

Ndiyo maana tumeamua kuweka kambi hapa MMU!!

Nikipata matokeo ntakujulisha babu. . . .hata pembeni kama sitaki umma ujue.
 
Hahahaha,
Babu bwana,
Ndio nimemaliza shule ya upili na kupata barua ya kujiunga chuo but nimejaza form ya kupostipondi kujiunga na chuo mpaka mwakani,
Ndio maana naona somo lako limekuja kwa wakati muafaka.
 
Babu nakushukuru sana, ni kama umeletwa na mungu kwangu...nimejifunza sana kwa maana nami ndo nakoelekea..hii namba mbili hapo imenifungua macho...ni kama viconflict nilivyokuwa navyo moyoni vimepata majibu
GBY (God Bless You)
 
Hahahaha,
Babu bwana,
Ndio nimemaliza shule ya upili na kupata barua ya kujiunga chuo but nimejaza form ya kupostipondi kujiunga na chuo mpaka mwakani,
Ndio maana naona somo lako limekuja kwa wakati muafaka.

Kumbeeeeeeeeeee,

You are almost getting there....You have my support and just knock on my door any time!!!

Bonne chance (good luck)!!!
 
Babu nakushukuru sana, ni kama umeletwa na mungu kwangu...nimejifunza sana kwa maana nami ndo nakoelekea..hii namba mbili hapo imenifungua macho...ni kama viconflict nilivyokuwa navyo moyoni vimepata majibu
GBY (God Bless You)

Ahsante Nyamtala,

Hebu basi tushirikishe basi pale ulipofaidi ili na wadau wengine wachote kutoka kwako,

Kama ujuavyo, katika hali ya emergency, lolote unalofanya/sema linaweza kuwa nguvu kubwa ya uponyaji,

Usibaki nalo basi...

Sharing is caring and also healing!!

Babu DC!!
 
Babu mbona hukuniambia kama umepost huku! Hii kitu inanihusu. Fafanua vizuri namba mbili na namba 7.
 
Babu mbona hukuniambia kama umepost huku! Hii kitu inanihusu. Fafanua vizuri namba mbili na namba 7.


Happy new Year Hus,

Mbona unatoroka bila ruksa ya babu?? Ukishachakachuliwa utashitaki kwa nani??

  • Expect the unexpected: Mahusiano yoyote kabla ya ndoa hayako binding…Nawashauri vijana wajiandae kwa lolote…But take precautions ili kupunguza maumivu. Kwa mfano, siyo fair kuwa kwenye relationship isiyoeleweka kwa miaka 2 au zaidi!!


Mie nilidhani iko clear sana ....

Hata hivyo niseme tu kuwa, kwa watu walio kwenye ndoa, kutoka ni jambo gumu na uzito. Ila kwa maoni yangu, linatakiwa kuwa jambo jepesi kumpiga chini BF au GF! Ukiona vigezo havijai chupa au akakuboa to death, unapiga chini na kusoga mbele...Hili litakuwa rahisi kama watu watakuwa wajanja kutotumia muda wao mwingi katika temporary relationships. Tena kama mwenzi mwenyewe haeleweki.

Tumeongea sana na akina Lizzy jinsi ya kumtambua mtu ambaye ameegesha kwako ili kupass time au kumsubiri Mr/Miss Right wake....!!

Hapo vipi??

Babu DC
 

ahsante babu, nisamehe kwa kuondoka bila kukuaga. Sasa hapo kwenye kupga chini asiefaa inabidi uandae darasa maana kuna vijana wake kwa waume ni ving'ang'anizi kama luba. Halafu ni lazima tunapokuwa na wapenzi tujenge expectations za kuishi nao maisha ya ndoa? Je nikiamua kuwa na mtu sahivi halafu huko mbele nikatafuta ustaarabu mwingine hiyo hairuhusiwi?
 
Kumbeeeeeeeeeee,

You are almost getting there....You have my support and just knock on my door any time!!!

Bonne chance (good luck)!!!

Babu nashukuru sn,ila safari inayonisuburi mwakan kwa miaka mitatu co rahic kuna sapu,cariova na diskolifikeshen so bado safari bado ndefu sn babu nikuomba mungu atufikishe salama.
 
ahsante babu, nisamehe kwa kuondoka bila kukuaga. Sasa hapo kwenye kupga chini asiefaa inabidi uandae darasa maana kuna vijana wake kwa waume ni ving'ang'anizi kama luba.

Kuhusu hili, naomba usome namba mbili...mtu akiamua kujifanya baba au mama huruma tumsaidieje??




Halafu ni lazima tunapokuwa na wapenzi tujenge expectations za kuishi nao maisha ya ndoa? Je nikiamua kuwa na mtu sahivi halafu huko mbele nikatafuta ustaarabu mwingine hiyo hairuhusiwi?

Kama umri wako unakuruhusu (teen) basi unaweza kuwa na mahusiano hata mia yasiyo na dira wala mwelekeo....Ila kama umri umeenda, utakubaliana na mimi kuwa kujaribu biashara ya mahusiano ya kujaribu jaribu ni kujichimbia kaburi!

Babu DC
 
Babu nimekusoma ila hata kama ni teen mahusiano ya kujaribu jaribu nayo hayafai unaweza ukaharibu malengo yako yote ya maisha.
 
Hivi king'ang'anizi anaweza akakufanya uendelee kuwa kwenye mahusiano usiyoyataka?

Kwangu huo ni udhaifu, inaonyesha kwamba hufanyi yale unayotaka/penda/hitaji wewe bali wanayotaka watu wengine (mf king'ang'anizi). Kama mtu humpendi/hutakia kuendelea na mahusiano nae unatakiwa ujiweke wewe kwanza ba sio yeye. Ukikueleza kwamba mahusiano yenu ndio basi tena uwe as straight as possible, usimung'unye maneno, usiyapake sukari na swala la huruma uliweke kando.
 
Babu nashukuru sn,ila safari inayonisuburi mwakan kwa miaka mitatu co rahic kuna sapu,cariova na diskolifikeshen so bado safari bado ndefu sn babu nikuomba mungu atufikishe salama.


Kwa vile unajua possible outcomes zote, naamini utavuka salama!!

Babu DC!!
 

Poa sana Lizzy,

Inasikitisha kwamba kuna watu wanaweza kukubali kutumiwa (for whatever lame reasons) na kutafunwa tafunwa kama miwa ili utamu ukiisha watemwe njiani na kuwa msosi wa nyenyere!!

Very pathetic!!

Ngoja tumsikilize Hus, kama kweli anaweza kukubali kutumiwa namna hiyo!!
 
Babu wengi wanaoshindwana baadae hua wanaanza hivi. Mtu anaona kabisa aliyenae sie ama kamchoka alafu eti anakubali kubaki kisa katolewa machozi ama kang'ang'aniwa. Matokeo yake ni kupotezeana muda kuwa kwenye mahusiano ambayo yataanguka tu baadae.
 
Kumbe na wewe bado upo upo, unashangaa shangaa????

Haki ya nani, lazima mwaka huu tuwatambue Boys na Girls wote ili tunapoongea mambo ya watu wazima tuwaombe watupishe kwanza!!!!

Babu DC!!
kwani kutooa ndio utoto babu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…