Ujumbe kwa wanandoa watarajiwa!

Ujumbe kwa wanandoa watarajiwa!

Hiki hiki mwaya, inawezekana.

Kweli kabisa Lizzy,

Watu tunaacha kujiandaa au kuchukua hatua, na baadaye tukikumbwa na mafuriko kama ya Jangwani tunaanza kumsingizia Mungu!!
 
Hao wachukulie ile dhana ya pili na kusepa....

Kuna watu wanhisi kuwa wakifanya ngono na wenzao basi wanapata hasara....Kama hawakubakwa basi nao ni beneficiary na kwa hiyo wasi-mind sana! Waishie zao!!

Kuna huu uzi wa Maty, ulikuwa na mijadala inayoendana na hili jambo!!

https://www.jamiiforums.com/mahusia...katika-mauzoefu-yenu-mmeshakutana-na-hii.html

I see. . .
Kwahiyo wanaona kama vile ni favour ambayo wanatakiwa warudishiwe kwa namna nyingine? Kwanini isiwe kwamba kila mmoja kamfanyia mwenzie favour (since hamna aliyetoa zaidi ya mwenzie) na wakishindwa kuendelea kusiwe na lawama wala manung'uniko?
 
Poa Cheusi,

Sasa hawa wadogo zako ambao wako safarini kuitafuta avatar yako unawaachaje??

Wape mistari kidogo basi,

Babu DC

poa babu,ngoja niwape huu mstari wapate hisia kidogo ya jinsi watakavyofeel;

A mother's joy begins when new life is stirring inside... when a tiny heartbeat is heard for the very first time, and a playful kick reminds her that she is never alone.
 
I see. . .
Kwahiyo wanaona kama vile ni favour ambayo wanatakiwa warudishiwe kwa namna nyingine? Kwanini isiwe kwamba kila mmoja kamfanyia mwenzie favour (since hamna aliyetoa zaidi ya mwenzie) na wakishindwa kuendelea kusiwe na lawama wala manung'uniko?

Siamini kama watu wanajkuwa na sorber mind kiasi hicho!!

Yaani vijana wengi wanadhani kuna mtu anajeruhiwa na mwingine anajeruhi!!

Kuna wimbo mmoja wa Bongo flava unatoa picha kama hiyo...Kijana anamsubiri GF wake na maandalizi ni kuwa siku hiyo anaua!!
Siukumbuki jina ila wataalamu wanaweza kutusaidia!!

I wish they knew kwamba kila mmoja ni mhitaji, mshirikia na beneficiary wasingekuwa na malalamiko ya kuchezewa na kuchezeana/kupotezeana muda tunayopokea kila kukicha!
 
poa babu,ngoja niwape huu mstari wapate hisia kidogo ya jinsi watakavyofeel;

A mother's joy begins when new life is stirring inside... when a tiny heartbeat is heard for the very first time, and a playful kick reminds her that she is never alone.

Unaona sasa,

Hapa lazima wapate usongo..

Ila ungewapa warning vijana kwamba hizo beats zinakuwa tamu zaidi kama owners wote wako pmaoja wanashangilia na kufurahia matunda ya kazi yao tukufu!!
 
I have tried very hard to keep my mouth shut.
And am not going to say anything

0015.gif
 
Unaona sasa,

Hapa lazima wapate usongo..

Ila ungewapa warning vijana kwamba hizo beats zinakuwa tamu zaidi kama owners wote wako pmaoja wanashangilia na kufurahia matunda ya kazi yao tukufu!!

wapate usongo tu lazima kujipanga na kuwa na uhakika wa mambo ni muhimu,la sivyo siko tayari kuona watoto wa mitaani wakiongezeka.
 
Siamini kama watu wanajkuwa na sorber mind kiasi hicho!!

Yaani vijana wengi wanadhani kuna mtu anajeruhiwa na mwingine anajeruhi!!

Kuna wimbo mmoja wa Bongo flava unatoa picha kama hiyo...Kijana anamsubiri GF wake na maandalizi ni kuwa siku hiyo anaua!!
Siukumbuki jina ila wataalamu wanaweza kutusaidia!!

I wish they knew kwamba kila mmoja ni mhitaji, mshirikia na beneficiary wasingekuwa na malalamiko ya kuchezewa na kuchezeana/kupotezeana muda tunayopokea kila kukicha!

Ndio matatizo ya ubinafsi huo, kila mmoja anaona yeye ndie anaetoa zaidi, likija swala la kustahili kitu yeye ndie anaestahili zaidi, likija la kupotezeana muda yeye wake ndio wenye thamani zaidi. Yani full marue rue.
 
I'm not thinking. I'm just asking. So maybe your question should have been 'what made you ask'? Well, what made me ask is your avatar.

Again, I'm not thinking. I'm just asking.

Kaka,

Unataka kuweka mkakati gani mwaka huu??

Just asking!!
 
I'm not thinking. I'm just asking. So maybe your question should have been 'what made you ask'? Well, what made me ask is your avatar.

Again, I'm not thinking. I'm just asking.

mwanasheria wangu kanikataza kujibu hilo swali.
happy new year rais wa wabeba mabox.
nimepata viza muda si mrefu nitakua raia wako.
 
Hiyo offer mbona ni kubwa kuliko jibu la swali aliloliuliza?
 
Back
Top Bottom