Ujumbe kwa wanandoa watarajiwa!

@lizzy, nimekusoma mpendwa. Ngoja nimchinjie baharini huyu king'ang'anizi wangu. Lol.
@babu, hakuna mjukuu anapendwa kutumiwa ila wengi hufanya makosa tangu awali kwa kuingia kwenye mahusiano yasiyo sahihi.
 
Ahsante sana kwa ushauri....tutaufanyia kazi
 
Hapo kwenye KUHURUMIANA kwa BF na GF kukaa mda mrefu kwenye mahusiano mmenigusa
 
@lizzy, nimekusoma mpendwa. Ngoja nimchinjie baharini huyu king'ang'anizi wangu. Lol.
@babu, hakuna mjukuu anapendwa kutumiwa ila wengi hufanya makosa tangu awali kwa kuingia kwenye mahusiano yasiyo sahihi.

Hus,

Kawambie kuanzia sasa,

1. Waliokwishafanya hilo kosa wajisahihishe na wasirudie tena......2012 tunataka vijana wenye afya na furaha kama vile wanakula Blue Band na kutumia sabuni ya Omo wakati wote!!

2. Wale ambao bado wanaowinda/windwa wasifanye hilo kosa.....They have been warned in capital letters!!

Babu DC
 
Hapo kwenye KUHURUMIANA kwa BF na GF kukaa mda mrefu kwenye mahusiano mmenigusa

Hebu basi na wewe tumegee kidogo,

Hako akashengo ulikokutana nako kakoje??

Babu DC!!
 
hahahahaha! Ujumbe umefika.
 
ASANTE sn kaka! H thread inanihusu kwa 100 %, naoa octb. Endelea kutoa advic yako nzuri! Nmeipenda sn!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…