Ujumbe kwa wanawake wa jf

Ujumbe kwa wanawake wa jf

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,420
kulikuwa na mdada mmoja mwenye jamaa yake mwanajeshi'huyo jamaa alihamishwa akaenda kufanya kazi mbali na anapoishi yule dada'siku anamsindikiza yule dada alimpa jamaa picha yake akamwambia kila ukinikumbuka angalia hii picha yangu'
Baada ya miezi sita yule dada alimwandikia barua yule jamaa yake akimjulisha amepata jamaa mwingine kwa hiyo arudishe ile picha yake'yule jamaa yake akapost picha nane akamwambia sikumbuki picha yako ni ipi
Kati ya hizi'tafadhali chagua ya kwako nirudishie zingine'yule dada hakuamini ile issue'hii inafundisha nini wakuu????
 
naona jamaa alihisi itatokea hiyo kwa hiyo akajiandaa mapema
 
Na siku hizi ukitaka picha za wadada warembo una-download tu kwenye net halafu unaprinti kama kawa.....................
 
Hvi tanzania hii bado tu kuna watu wanaandikianaga barua?
 
Mmmh!ngoma droo,ila yawezekana jamaa alifanya hivyo kumrusha roho bidada!ila ktk hali ya kawaida jamaa amejionyesha kuwa alikua nao wengi hivyo dada alifanya uamuzi wa busara!km ni mm ningefarijika kwan ningejiona nilikua sahihi!
 
Niliwahi soma hii kule kwenye jokes.
OTIS
 
Title inapotosha! Nways haya bana huyo jamaa mjanja thou.
 
Heee! Hivi inawezekana? Kuna mtu nae aliwahi kuniambia alikuwa na msichana muda mrefu wakapotezana, walivyokuja kuonana yule mdada akasema amemsahau jamaa wakati waliwahi kuwa wapenzi zaidi ya mwaka.
 
Back
Top Bottom