Ujumbe kwa wapinzani local wa Simba SC

Ujumbe kwa wapinzani local wa Simba SC

Stoik

Member
Joined
Feb 14, 2021
Posts
27
Reaction score
67
Habari zenu, Mimi ni Shabiki wa damu kabisa wa wekundu wa msimbazi.

Kwa maslahi mapana ya soka letu, ligi yetu napenda sana tuwe na timu imara. Ligi yetu ikizidi kuwa imara Simba naye anazidi kuimarika, kwasababu atapata changamoto nje na ndani. Azam, Yanga, Kagera Sugar, KMC, Namungo, Prisons, na wengineo wawe imara pia watoe upinzani halisi.
Tukifikia kuwa na timu imara zaidi, naamini angalau tunaweza kupata timu ya taifa yenye unafuu, Kwani Mchezaji mzawa atakaye kuwa anapata nafasi kwenye timu sita bora, lazima atakuwa na kiwango bora. ( Refer Timu ya DRC Congo wale mabingwa wa CHAN miaka ya nyuma kidogo).

Level aliyofikia simba, kama tungepata timu hata 3 zenye uwezo unaolingana naamini tungekuwa mbele kidogo zaidi ya hapa..

Hivyo basi, wito wangu kwa Uongozi, Mashabiki na Wadau wa team pinzani za Simba, ni nini hasa malengo yenu?
1. Kuwaponda Simba kinafki, huku hamna jitahada zozote kujinasua kwenye utopolo wenu?
2. Kujenga taasisi imara, ili tuwe na competitive league?
3. Tupambane ili tuutwae ufalme ulioshuka wa DRC Congo? ( TP Mazembe, As Vita, St Eloi Lupopo, Motema Pembe)
4. Kuendelea na kujilinganisha na Simba matokeo yake Simba watengeneze mfumo Simba? ( Refer Bayern Munchen, RB Salzburg, FC Basel, Juventus)

KAZI NI KWENU, KUNYOA AMA KUSUKA.
Screenshot_20210410-230335.jpg
 
huna jipya wewe very cheap and poor analysis.....MIKIA...KWA KUNUNUA HAMJAMBO
 
Habari zenu, Mimi ni Shabiki wa damu kabisa wa wekundu wa msimbazi.

Kwa maslahi mapana ya soka letu, ligi yetu napenda sana tuwe na timu imara. Ligi yetu ikizidi kuwa imara Simba naye anazidi kuimarika, kwasababu atapata changamoto nje na ndani. Azam, Yanga, Kagera Sugar, KMC, Namungo, Prisons, na wengineo wawe imara pia watoe upinzani halisi.
Tukifikia kuwa na timu imara zaidi, naamini angalau tunaweza kupata timu ya taifa yenye unafuu, Kwani Mchezaji mzawa atakaye kuwa anapata nafasi kwenye timu sita bora, lazima atakuwa na kiwango bora. ( Refer Timu ya DRC Congo wale mabingwa wa CHAN miaka ya nyuma kidogo).

Level aliyofikia simba, kama tungepata timu hata 3 zenye uwezo unaolingana naamini tungekuwa mbele kidogo zaidi ya hapa..

Hivyo basi, wito wangu kwa Uongozi, Mashabiki na Wadau wa team pinzani za Simba, ni nini hasa malengo yenu?
1. Kuwaponda Simba kinafki, huku hamna jitahada zozote kujinasua kwenye utopolo wenu?
2. Kujenga taasisi imara, ili tuwe na competitive league?
3. Tupambane ili tuutwae ufalme ulioshuka wa DRC Congo? ( TP Mazembe, As Vita, St Eloi Lupopo, Motema Pembe)
4. Kuendelea na kujilinganisha na Simba matokeo yake Simba watengeneze mfumo Simba? ( Refer Bayern Munchen, RB Salzburg, FC Basel, Juventus)

KAZI NI KWENU, KUNYOA AMA KUSUKA.View attachment 1749220
Jifunzeni kumfunga Prisons kwanza, acha maneno mengi kama waimba taarab.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Vyote ulivyovitaja umesahau kitu kimoja ambacho ni nguvu ya pesa.
Kujenga taasisi imara bila kuwa na pesa ni haiwezekani.
Ligi inaitaji pesa iyo Simba unayozungumzia angalia Mo kaweka sh. Ngapi?
Iyo reference namba 4 yote ni pesa tu ndio maana baada ya inter nayo kuwekeza angalia uyo Juventus anavyoangaika.
Ivyo basi ligi yetu inaitaji wawekezaji wenye pesa tu.
 
Vipi kuhusu Azam Fc hawana hela? Yanga anahitaji Uongozi imara wenye utulivu ili mtu mwenye akili aweze kuwekeza.
 
Azam pesa wanazo ila hawana malengo.
Je timu ngapi katika ligi zinawawekezaji wenye pesa?
Mana mpira ni biashara na sio ushabiki tu.
 
Vyote ulivyovitaja umesahau kitu kimoja ambacho ni nguvu ya pesa.
Kujenga taasisi imara bila kuwa na pesa ni haiwezekani.
Ligi inaitaji pesa iyo Simba unayozungumzia angalia Mo kaweka sh. Ngapi?
Iyo reference namba 4 yote ni pesa tu ndio maana baada ya inter nayo kuwekeza angalia uyo Juventus anavyoangaika.
Ivyo basi ligi yetu inaitaji wawekezaji wenye pesa tu.
Kwani yanga haina pesa? Wadhamini hawapo?
 
Soma mada vizuri na pia weka ushabiki wako pembeni Mana mleta mada hajazungumzia yanga bali wapinzani wa Simba local ambazo ni timu zote zinazocheza ligi kuu. Unavyouliza uliza kuhusu yanga jiulize ligi ina timu ngapi na je timu ngapi zina fedha pamoja na wadhamini.
 
Back
Top Bottom