trojan92
Member
- May 18, 2024
- 91
- 276
Moja kwa moja kwenye mada.
Leo tu waandikie wazazi wako ujumbe mzuri kwa yote waliyokufanyia hadi sasa upo hivyo ulivyo.
Haijalishi wako hai au wametangulia mbele za haki, wewe andika neno zuri la shukrani na heri juu yao.
Mungu barikii wazazi wetu na uwalaze pema wazazi waliotutoka. Majitoleo yao juu yetu hayana mfano