Ujumbe maalumu kwa Denis Kibu kuelekea mechi ya marudiano ya Simba vs Al Masry

DELETED ACCOUNT

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
9,805
Reaction score
15,476
Rastaman Denis Kibu,

Mwanangu nakukubali sana na mimi ni mmoja wa watu ambao nimekuwa nakutetea sana mitandaoni na hata mtaani.

Ebwana mwanangu nakubali sana uwezo wako wa upambanaji na nguvu ulionao. Hizi ni silaha zako kuu na usiziache kamwe.

Nakushauri mambo matatu ya kuacha au kubadilisha na kama mshabiki wako naamini utakuwa bora zaidi.

1. Usipende sana kupiga vyenga. Ndiyo, tuvituvitu kuna wakati vinakubali ila hiki siyo moja ya kipaji ulichojaaliwa mwanangu. Stick na vile vinavyofanya tunakuimba. Gusa achia, kama wakikaa kizembe wakimbize, ukipata nafasi piga kombora hivo tu.

2. Usilazimishe sana kupiga pasi mpenyezo au pasi zenye manjonjo meeengi. Hii pia si moja ya vitu ulivyobarikiwa na ukiendelea kuvilazimisha vitakuharibikia. Kuna mechi ya juzijuzi hapa ulijaribu kupiga pasi kama ya Feisal ile ya goli la pili la Azam wakati ungeweza tu kupiga pasi nzuri ya kawaida yenye manufaa kwa timu. Rudi kwenye vile vitu vinavyokufanya uwe bora.

3. Hii si ya muhimu sana ila jicho langu la tatu linaniambia linaweza kukufanya kuwa bora. Unaona kina Chamou amenyoa akawa bora, umeona kina Chama alinyoa akawa bora, Mukwala akaacha kuvaa ile crown yake akaanza kufunga, sasa kwa wewe nakushauri pandisha soksi zako, vaa kama wachezaji wengine. Mshtue na mwanao Chasambi.

Wewe ni mchezaji muhimu kwa kikosi hiki cha Simba ila output yako kuna wakati nawaza inaweza kuwa bora zaidi ukiacha kufanya baadhi ya mambo.

Cha ziada, ongea na mwalimu uwe mpigaji mkuu wa faulo za Simba. Janshalewa hana uwezo huo, abaki tu kuwa mpiga penati ila free kick za Simba zibebe wewe, kuna kitu nimeona unaweza kukifanya.
 
Ni ushauri mzuri kwa Kibu ila kuna mwamba alishauri kuwa "washambuliaji" wote hamna kitu.

Nakubaliana na tatizo la finishing line ya Simba, hawana quality ya kuchezea Simba au Pattern zinawakataa.

Kama Kibu akishika shavu moja, Mpanzu amekuwa mzuri zaidi shavuni pia, mara zote wamekuwa wanakimbia na mpira wakiwaacha washambuliaji wa mwisho nyuma, kiasi kwamba hata mcheza nyuma ya mshambuliaji wa mwisho anakuwa akitembea dimbani kule.

Kapombe anakutana na rebound, imagine!

Mid field, inacheza mstari wa nyuma tu, timu ni kama haina namba 8 na 10 halafu imeua 6, kwahiyo timu inacheza na namba 2, 3 4 × 2, 5, 7 anayechukua mipira kama 8 na kukimbilia ndani kama yeye ndo 8 au 10, 11(Mpanzu) baada ya hapo, 9, 10 na 7 hawajulikani wanapokuwaga.

Always team inacheza ikiwa na upungufu wa wachezaji watatu ingawa kiidadi uwanjani wametimia.

Kwa mechi ile na al masry, Yanga wangeondoka na ushindi mnono kama tunaweka ushabiki pembeni...driving force wanayo hata mkisema wanabebwa na gsm na bahasha lakini unaona kabisa jinsi wanavyo-drive in kutafuta wanachokitaka.

Revamping inahitajika.
 
Uko sahihi lakini tumeweka pause kuyaongelea hayo kipindi hiki katikati ya vita zaidi ya kumkumbusha mwalimu kuwaangalia pia wachezaji wengine ambao tayari wapo kikosini.

Simba haihitaji revamping kihivyo maana hilo limeshafanyika. Misimu miwili au mitatu makosa makubwa ya usajili yalikuwa yanafanyika ila msimu huu usajili umefanyika kwa usahihi kwa 90% Muhimu ni kwa kocha kutumia wachezaji kwa sahihi.

Simba inahitaji kusajili namba 9 na 10 walio bora zaidi na pia kuwaamini zaidi na kuwapa game time mara kwa mara mafullback walio benchi kina Nouma na Duchu. Okejepha, Mavambo nao wapewe game time zaidi. Wa kuachwa ni Mutale na Ngoma ili kutengeneza nafasi hizo mbili za usajili.

Inawezekana Ateba tunalazimisha acheze kama striker. Ninavyojua mimi alipotoka kule Algeria hakuwa anacheza nafasi hiyo au haikuwa nafasi yake kuu. Labda ndiyo maana anapata shida kufanya maamuzi sahihi kama striker ikiwemo jinsi ya kujiposition.
 
Ateba hafai kuwa kwenye kikosi cha Simba.
Simba inahitaji watu wenye kasi na akili.Nguvu ni kipengele cha tatu muhimu ila sio cha kwanza kama mtu hana kasi
 
Uko sahihi lakini tumeweka pause kuyaongelea hayo kipindi hiki katikati ya vita zaidi ya kumkumbusha mwalimu kuwaangalia pia wachezaji wengine ambao tayari wapo kikosini.

Simba haihitaji revamping kihivyo maana hilo limeshafanyika. Misimu miwili au mitatu makosa makubwa ya usajili yalikuwa yanafanyika ila msimu huu usajili umefanyika kwa usahihi kwa 90% Muhimu ni kwa kocha kutumia wachezaji kwa sahihi.

Simba inahitaji kusajili namba 9 na 10 walio bora zaidi na pia kuwaamini zaidi na kuwapa game time mara kwa mara mafullback walio benchi kina Nouma na Duchu. Okejepha, Mavambo nao wapewe game time zaidi. Wa kuachwa ni Mutale na Ngoma ili kutengeneza nafasi hizo mbili za usajili.

Inawezekana Ateba tunalazimisha acheze kama striker. Ninavyojua mimi alipotoka kule Algeria hakuwa anacheza nafasi hiyo au haikuwa nafasi yake kuu. Labda ndiyo maana anapata shida kufanya maamuzi sahihi kama striker ikiwemo jinsi ya kujiposition.
Niliitazama ile game, nikamwambia jamaa mmoja ambae alikuwa karibu yangu kwamba kama Simba inashindwa kupata matokeo ya ushindi game hii, basi Simba ipo vibaya. Al Masry hawakuonekana kama wanatisha ila walikuwa hawana stamina/nguvu na walicheza kinyumbani zaidi, hawakuwa na utulivu mzuri pia. Simba angetulia alikuwa anaondoka na ushindi palepale Misri.
 
Hiyo ni mbinu ya mwarabu
J5 ndo mtaona timu inawashambulua kama Liverpool
 
Tutafurahi wengi
Hujifichi!
IMG-20250402-WA0004.jpg

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
P
Ni ushauri mzuri kwa Kibu ila kuna mwamba alishauri kuwa "washambuliaji" wote hamna kitu.

Nakubaliana na tatizo la finishing line ya Simba, hawana quality ya kuchezea Simba au Pattern zinawakataa.

Kama Kibu akishika shavu moja, Mpanzu amekuwa mzuri zaidi shavuni pia, mara zote wamekuwa wanakimbia na mpira wakiwaacha washambuliaji wa mwisho nyuma, kiasi kwamba hata mcheza nyuma ya mshambuliaji wa mwisho anakuwa akitembea dimbani kule.

Kapombe anakutana na rebound, imagine!

Mid field, inacheza mstari wa nyuma tu, timu ni kama haina namba 8 na 10 halafu imeua 6, kwahiyo timu inacheza na namba 2, 3 4 × 2, 5, 7 anayechukua mipira kama 8 na kukimbilia ndani kama yeye ndo 8 au 10, 11(Mpanzu) baada ya hapo, 9, 10 na 7 hawajulikani wanapokuwaga.

Always team inacheza ikiwa na upungufu wa wachezaji watatu ingawa kiidadi uwanjani wametimia.

Kwa mechi ile na al masry, Yanga wangeondoka na ushindi mnono kama tunaweka ushabiki pembeni...driving force wanayo hata mkisema wanabebwa na gsm na bahasha lakini unaona kabisa jinsi wanavyo-drive in kutafuta wanachokitaka.

Revamping inahitajika.
Para ya mwsho hukutakiwa kuhusisha Yanga, ungeweza kutoa hoja bila kuhusisha team nyingine.
Mbona walishindwa kwa Mc Alger, tena kwa mkapa. Lol
 
Lakini si ni kweli kuwa ukiwaangalia Yanga pale mbele, unaona jinsi kuanzia viungo wanavyopanga mipango kulisakama lango pinzani...sio kitu unachotegemea mara nyingi kutoka kwa Simba hii, ile ya Kagere sawa!

Hiyo Mc Alger, pengine hata Simba wangedunda, walipaki basi...sasa attacking line ipi ya Simba ingeweza kupenya ikiwa Al Masry alikuwa na Dela tu na wakashindwa kupenyeza?
 
😂😂😂😂 uongo.
 
Ni ushauri mzuri kwa Kibu ila kuna mwamba alishauri kuwa "washambuliaji" wote hamna kitu.

Nakubaliana na tatizo la finishing line ya Simba, hawana quality ya kuchezea Simba au Pattern zinawakataa.

Kama Kibu akishika shavu moja, Mpanzu amekuwa mzuri zaidi shavuni pia, mara zote wamekuwa wanakimbia na mpira wakiwaacha washambuliaji wa mwisho nyuma, kiasi kwamba hata mcheza nyuma ya mshambuliaji wa mwisho anakuwa akitembea dimbani kule.

Kapombe anakutana na rebound, imagine!

Mid field, inacheza mstari wa nyuma tu, timu ni kama haina namba 8 na 10 halafu imeua 6, kwahiyo timu inacheza na namba 2, 3 4 × 2, 5, 7 anayechukua mipira kama 8 na kukimbilia ndani kama yeye ndo 8 au 10, 11(Mpanzu) baada ya hapo, 9, 10 na 7 hawajulikani wanapokuwaga.

Always team inacheza ikiwa na upungufu wa wachezaji watatu ingawa kiidadi uwanjani wametimia.

Kwa mechi ile na al masry, Yanga wangeondoka na ushindi mnono kama tunaweka ushabiki pembeni...driving force wanayo hata mkisema wanabebwa na gsm na bahasha lakini unaona kabisa jinsi wanavyo-drive in kutafuta wanachokitaka.

Revamping inahitajika.
Simba hii ni Bora sana kuliko yanga,

Kuifananisha Simba hii na Yanga hii ni upungufu wa kufikiri kwa kina,

Hii ni Simba mpya ya wachezaji wapya na inayojengwa na wachezaji waliokaa muda mfupi,

Yanga hii ni timu iliyokomaa kwa sababu ya wachezaji wengi kukaa muda mrefu,

Kama yanga ingekua Bora kama usemavyo mbona ilishindwa kuvuka kwa mkapa?

Licha ya kwamba Simba Ina wa hezaji dhaifu kama unavyosema,lkn ndio wameifikisha hapa.

Ikumbukwe kwamba hatua za ushindani wa mpira hua ngumu kadri unavyovuka hatua kwenda mbele.
 
Back
Top Bottom