DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Uko sahihi lakini tumeweka pause kuyaongelea hayo kipindi hiki katikati ya vita zaidi ya kumkumbusha mwalimu kuwaangalia pia wachezaji wengine ambao tayari wapo kikosini.Ni ushauri mzuri kwa Kibu ila kuna mwamba alishauri kuwa "washambuliaji" wote hamna kitu.
Nakubaliana na tatizo la finishing line ya Simba, hawana quality ya kuchezea Simba au Pattern zinawakataa.
Kama Kibu akishika shavu moja, Mpanzu amekuwa mzuri zaidi shavuni pia, mara zote wamekuwa wanakimbia na mpira wakiwaacha washambuliaji wa mwisho nyuma, kiasi kwamba hata mcheza nyuma ya mshambuliaji wa mwisho anakuwa akitembea dimbani kule.
Kapombe anakutana na rebound, imagine!
Mid field, inacheza mstari wa nyuma tu, timu ni kama haina namba 8 na 10 halafu imeua 6, kwahiyo timu inacheza na namba 2, 3 4 ร 2, 5, 7 anayechukua mipira kama 8 na kukimbilia ndani kama yeye ndo 8 au 10, 11(Mpanzu) baada ya hapo, 9, 10 na 7 hawajulikani wanapokuwaga.
Always team inacheza ikiwa na upungufu wa wachezaji watatu ingawa kiidadi uwanjani wametimia.
Kwa mechi ile na al masry, Yanga wangeondoka na ushindi mnono kama tunaweka ushabiki pembeni...driving force wanayo hata mkisema wanabebwa na gsm na bahasha lakini unaona kabisa jinsi wanavyo-drive in kutafuta wanachokitaka.
Revamping inahitajika.
Ateba hafai kuwa kwenye kikosi cha Simba.Uko sahihi lakini tumeweka pause kuyaongelea hayo kipindi hiki katikati ya vita zaidi ya kumkumbusha mwalimu kuwaangalia pia wachezaji wengine ambao tayari wapo kikosini.
Simba haihitaji revamping kihivyo maana hilo limeshafanyika. Misimu miwili au mitatu makosa makubwa ya usajili yalikuwa yanafanyika ila msimu huu usajili umefanyika kwa usahihi kwa 90% Muhimu ni kwa kocha kutumia wachezaji kwa sahihi.
Simba inahitaji kusajili namba 9 na 10 walio bora zaidi na pia kuwaamini zaidi na kuwapa game time mara kwa mara mafullback walio benchi kina Nouma na Duchu. Okejepha, Mavambo nao wapewe game time zaidi. Wa kuachwa ni Mutale na Ngoma ili kutengeneza nafasi hizo mbili za usajili.
Inawezekana Ateba tunalazimisha acheze kama striker. Ninavyojua mimi alipotoka kule Algeria hakuwa anacheza nafasi hiyo au haikuwa nafasi yake kuu. Labda ndiyo maana anapata shida kufanya maamuzi sahihi kama striker ikiwemo jinsi ya kujiposition.
Niliitazama ile game, nikamwambia jamaa mmoja ambae alikuwa karibu yangu kwamba kama Simba inashindwa kupata matokeo ya ushindi game hii, basi Simba ipo vibaya. Al Masry hawakuonekana kama wanatisha ila walikuwa hawana stamina/nguvu na walicheza kinyumbani zaidi, hawakuwa na utulivu mzuri pia. Simba angetulia alikuwa anaondoka na ushindi palepale Misri.Uko sahihi lakini tumeweka pause kuyaongelea hayo kipindi hiki katikati ya vita zaidi ya kumkumbusha mwalimu kuwaangalia pia wachezaji wengine ambao tayari wapo kikosini.
Simba haihitaji revamping kihivyo maana hilo limeshafanyika. Misimu miwili au mitatu makosa makubwa ya usajili yalikuwa yanafanyika ila msimu huu usajili umefanyika kwa usahihi kwa 90% Muhimu ni kwa kocha kutumia wachezaji kwa sahihi.
Simba inahitaji kusajili namba 9 na 10 walio bora zaidi na pia kuwaamini zaidi na kuwapa game time mara kwa mara mafullback walio benchi kina Nouma na Duchu. Okejepha, Mavambo nao wapewe game time zaidi. Wa kuachwa ni Mutale na Ngoma ili kutengeneza nafasi hizo mbili za usajili.
Inawezekana Ateba tunalazimisha acheze kama striker. Ninavyojua mimi alipotoka kule Algeria hakuwa anacheza nafasi hiyo au haikuwa nafasi yake kuu. Labda ndiyo maana anapata shida kufanya maamuzi sahihi kama striker ikiwemo jinsi ya kujiposition.
Hiyo ni mbinu ya mwarabuNiliitazama ile game, nikamwambia jamaa mmoja ambae alikuwa karibu yangu kwamba kama Simba inashindwa kupata matokeo ya ushindi game hii, basi Simba ipo vibaya. Al Masry hawakuonekana kama wanatisha ila walikuwa hawana stamina/nguvu na walicheza kinyumbani zaidi, hawakuwa na utulivu mzuri pia. Simba angetulia alikuwa anaondoka na ushindi palepale Misri.
Ntafurahi sana akipigika.Hiyo ni mbinu ya mwarabu
J5 ndo mtaona timu inawashambulua kama Liverpool
Tutafurahi wengiNtafurahi sana akipigika.
Kibu Anatumia miguvu na si akili ๐๐ฎ
Para ya mwsho hukutakiwa kuhusisha Yanga, ungeweza kutoa hoja bila kuhusisha team nyingine.Ni ushauri mzuri kwa Kibu ila kuna mwamba alishauri kuwa "washambuliaji" wote hamna kitu.
Nakubaliana na tatizo la finishing line ya Simba, hawana quality ya kuchezea Simba au Pattern zinawakataa.
Kama Kibu akishika shavu moja, Mpanzu amekuwa mzuri zaidi shavuni pia, mara zote wamekuwa wanakimbia na mpira wakiwaacha washambuliaji wa mwisho nyuma, kiasi kwamba hata mcheza nyuma ya mshambuliaji wa mwisho anakuwa akitembea dimbani kule.
Kapombe anakutana na rebound, imagine!
Mid field, inacheza mstari wa nyuma tu, timu ni kama haina namba 8 na 10 halafu imeua 6, kwahiyo timu inacheza na namba 2, 3 4 ร 2, 5, 7 anayechukua mipira kama 8 na kukimbilia ndani kama yeye ndo 8 au 10, 11(Mpanzu) baada ya hapo, 9, 10 na 7 hawajulikani wanapokuwaga.
Always team inacheza ikiwa na upungufu wa wachezaji watatu ingawa kiidadi uwanjani wametimia.
Kwa mechi ile na al masry, Yanga wangeondoka na ushindi mnono kama tunaweka ushabiki pembeni...driving force wanayo hata mkisema wanabebwa na gsm na bahasha lakini unaona kabisa jinsi wanavyo-drive in kutafuta wanachokitaka.
Revamping inahitajika.
Lakini si ni kweli kuwa ukiwaangalia Yanga pale mbele, unaona jinsi kuanzia viungo wanavyopanga mipango kulisakama lango pinzani...sio kitu unachotegemea mara nyingi kutoka kwa Simba hii, ile ya Kagere sawa!P
Para ya mwsho hukutakiwa kuhusisha Yanga, ungeweza kutoa hoja bila kuhusisha team nyingine.
Mbona walishindwa kwa Mc Alger, tena kwa mkapa. Lol
๐๐๐๐ uongo.Lakini si ni kweli kuwa ukiwaangalia Yanga pale mbele, unaona jinsi kuanzia viungo wanavyopanga mipango kulisakama lango pinzani...sio kitu unachotegemea mara nyingi kutoka kwa Simba hii, ile ya Kagere sawa!
Hiyo Mc Alger, pengine hata Simba wangedunda, walipaki basi...sasa attacking line ipi ya Simba ingeweza kupenya ikiwa Al Masry alikuwa na Dela tu na wakashindwa kupenyeza?
Simba hii ni Bora sana kuliko yanga,Ni ushauri mzuri kwa Kibu ila kuna mwamba alishauri kuwa "washambuliaji" wote hamna kitu.