sweetlady unataka kununua kesi hii kweli?
FYI mlalamikiwa ni mimi. utajibeba bibie.
Bifu langu nawe bado sana!
sweetlady unataka kununua kesi hii kweli?
FYI mlalamikiwa ni mimi. utajibeba bibie.
Bifu langu nawe bado sana!
Judgement mwambie huyo mtu maneno haya -Before you judge me, you better make sure you're better than me.
Ujumbe umefika, afu best mbona hujaninong'oneza kama sweetlady ni usingizi wako mkuu?
Unalamba tu kimyakimya best yangu!
Mpaka nifumanie makomenti matredini ndo nijue?
Wakati mi nawewe hatukujuana barabarani ?

Shem nawe una harakaaaaa ..... Tulia atakutambulisha rasmi siku sio nyingi
Mambo mazuri hayatali haraka kaka. Kuwa na subira tu. Mda si mrefu nitakutambulisha rasmi. Patakuwa na sherehe Maalumu pale Gold Crest hotel
Hayo sasa ndiyo maneno! Japokua unafanya machakachuzi kwenye uzi wangu!
Nevertheless kwa uzito wa data husika ni wewe tu na mchumbaako Nicas Mtei ndo namiruhusuni mchakachue!
Nimekuread si kiuzamili tu, na kiuzamivu pia.