Ujumbe mahsusi wa Putin kwa Kenya

Ujumbe mahsusi wa Putin kwa Kenya

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Ndugu zetu wakenya kuna huu ujumbe wenu hapa:

IMG_20220409_224024_834.jpg


Vipi uliwafikia au ndiyo mmefanya kama hamjauona?

Poleni lakini, ila huo ndiyo ukweli wenyewe.
 
Nionyeshe official statement ya Kremlin iliyosema hivi. Kama walisema basi ilikua ni kutupiana maneno tu privately. Putin Hana muda wa kuita press kutoa matamko Kuhusu Kenya

Official statement ya nini?

"Kwani Kenya hakuna njaa? Kwa Russia, Kenya si ka small boy? Russia si kama mbuyu? Ki diplomasia Russia si founder UN? Hadi hapo Russia anafunzwa nini?"

Ila ndiyo hivyo wajameni, ni kawaida kwa ukweli kuwa mchungu.
 
Ujumbe huu umewapiga ndugu zetu wakenya panapo uma kisawa sawa.

Pamoja na kujimwambafy kwao kina MK254 wanapita juu kwa juu kama vile uzi hawauoni.

Usicheze na uzalendo.

Wameguswa.
Jione, hata hujui kutofautisha kati ya habari za kweli na FAKE NEWS. Huyo uliyemnukuu, @EnockBett, ukidhani ni msemaji wa Kremlin na Putin ni mkenya pia. 😄
Yaani unawaponda wakenya wakati anayekulisha huu upumbavu wote yupo Kenya? Kwao kule mashinani Mogogosiek, Bonde la Ufa, sio Moscow. 😆 Alafu huu upuuzi si ulisambazwa sana mwezi uliopita? Ulikuwa chini ya jiwe lipi muda huo wote?
 
Jione, hata hujui kutofautisha kati ya habari za kweli na FAKE NEWS. Huyo uliyemnukuu, @EnockBett, ukidhani ni msemaji wa Kremlin na Putin ni mkenya. 😄 Anakulisha upumbavu akiwa kwao mashinani Mogogosiek, sio Moscow. 😆

Ukweli huo hauwezi kuwa mwema kwenu.

Hilo linaeleweka jirani.

Poleni sana lakini, wala msidhani kuwa labd eti tunawacheka.

Wala eti labda kuwa heri sisi hatujasema.
 
Ukweli huo hauwezi kuwa mwema kwenu.

Hilo linaeleweka jirani.

Poleni sana lakini, wala msidhani kuwa labd eti tunawacheka.

Wala eti labda kuwa heri sisi hatujasema.
Buda, rudi tu kule FB, kwa vijitoto mazero brain. Huku watu wana akili zao jombaa.
 
Buda, rudi tu kule FB, kwa vijitoto mazero brain. Huku watu wana akili zao jombaa.

Pole mjomba inajulikana kuwa imepenya hiyo.

Makwetu tukiita ya chembe cha moyo!

Kunywa maji kidogo hayo ni matokeo tu ya domo kizaba zabina.
 
Najaribu kuwaza kijana anavyotikisa TAKO
Putin ni mhuni sana. Anamtukqnq jirani tusi zito ni kamq qmemunesha kidole cha kati[emoji867]
 
Back
Top Bottom