Ujumbe mahususi kwa mabinti wote

Ujumbe mahususi kwa mabinti wote

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
My dear sister's,
Najua malengo na matamanio ya kila mmoja wenu
ni kuwa na mwanaume mwaminifu mwenye
hekima, busara na mwenye mapenzi ya kweli

Lakini naomba nikwambie na nikuhakikishie kwamba kamwe huwezi kumpata mwanaume
mwenye vigezo hivyo kwa ku-post picha zako za
nusu uchi kwenye mitandao ya kijamii(facebook,
instagram etc)

Ukweli usiopingika ni kwamba hizo picha zako za
nusu uchi zitakachokusaidia ni kitu kimoja tu: kupata LIKES 99 na COMMENTS 120 ambapo zote
hizo zitakuwa zimetokana na vijana wadogo wale
malimbukeni wa mapenzi na watu wazima wasio
jitambua (mafataki)

Wata-comment kwa kukuita majina mazuri mazuri
na maneno kama vile "You are beautiful, umetokelezea bibie, You are a heaven sent angel,
njoo inbox tuchart, I wish to have you, nipe namba
yako mrembo, You are so sweet, I love
you, mara mwingine ataandika No. yangu
07551005.. njoo whatsApp
na mengine mengi.

Utavimba kichwa nakujiona kama unapendwa kwa
comments zao na uwingi wa msg inbox lkn
pamoja na yote hayo hakuna hata mmoja ambaye
atakuwa na malengo ya kweli ya kukufanya uwe
mkewe
They would only be lusting after you.

Amini usiamini hakuna mwanaume anayehitaji
kuwa na mwanamke asiyeheshimu mwili wake na
kuuanika hadharani eti kila mtu aone
Ukiishi kwa kufuata maadili kwa hakika utampata
mwanaume wenye hekima, mcha Mungu na wenye
mapenzi ya kweli lakini tofauti na hivyo mawazo yako ya kumpata mume mwema yatabaki kuwa
ndoto tena ndoto za mchana kweupeeee!.

Huwezi kumpata mume mwema ilihali mwenyewe
huna maadili ya kuwa mke mwema!!
Acha kuyaanika maungo yako kwenye mitandao
ya kijamii Heshimu, tunza na uusitili vema mwili wako
kwaajiki ya mumeo au mume mtarajiwa.
Tupo pamoja??
 
baby you are so wise. Big up. Namshukuru Mungu mimi hivyo hapo sina hata kimoja ndo maana ukanipenda.

I love you every second honey.
 
Mara ya 4 leo naona unamu appreciate mshikaji hadharani... Nimeanza kuamini sasa!!!

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
yaan ni wangu wa kiukweli sio utani utani Mkuu, nini ulikuwa huamini? naona kweli unatufuatilia

that is so nice. kwenye ile harus Kiwatengu aliyofungisha hukupewa kadi?
 
Kuna muda unatumiaga kichwa cha juu vizuri, lakinii ingekuwa vyema nyie wanaume mnaojitambua mkiona hizo picha muwaseme hapo hapo na sio kusifia ujinga jamani
 
Maungo ya mwanamke ni kitu chenye thamani sana kwa Mwanamme...bahati mbaya asilimia 45 ya wamiliki wa maungo hayo hawatambui kama kuyaficha ndiyo kuyaongezea thamani......
 
Waambie wakueleweeeeeeeee wambiiiiiiiiiiieeeeeeeee! Chema chajiuza,mwanamme mwenye akili timamu hawezi kuchua mwanamke aloonekana na wote maumbile yake yasiyo stahili kuonekana,wasipopata wakuwa oa wanasema wamerongwa
oooh wanaume hakuna,oooh wanaume wasikuizi waongo,kwa style hiyo watakua waongo sanaaa utaishia kwenda kwenye harusi za wenzenu tuu..
 
Bebe scorpio me unaona lakini haya? Mtunze binti yetu yule asianze kufanya mambo ya ajabu kama anayoongolea huyu Mkuu! Hakika itakua ni fedheha.
 
Mwanaume anayejitambua
(100kwenye picha)anajua usalama wake upo wapi.
 

Attachments

  • IMG_20161108_161132.JPG
    IMG_20161108_161132.JPG
    26.7 KB · Views: 32
Back
Top Bottom