Ujumbe maridhawa kwa wenye watoto wa kike

Nathan Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2017
Posts
1,437
Reaction score
1,883
Mheshimiwa najua Una mtoto wa kike tunaomba upunguze pia hata wazee wengine wasihi wapunguze vijana wana maombi hayo

 
Mheshimiwa najua Una mtoto wa kike tunaomba upunguze pia hata wazee wengine wasihi wapunguze vijana wana maombi hayo

View attachment 693674

Mataifa mengine ya Afrika yaliyoendelea huu Upuuzi / Upupu wa Kutoa ' Mahari ' kwa Watoto wa Kike walishaachana nao kitambo sana kwani ukiwa tu Critical Thinker na unajua kutumia vyema IQ yako utagundua ya kwamba hatua ya Kwanza ambayo humdhalilisha Mwanamke ni hii ya kutolewa ' Mahari ' na Mwanaume kitendo ambacho hakina tofauti na ' Kununuliwa ' kama bidhaa na kwenda kutumiwa ipasavyo huko iendako.

Nashangaa Wanawake wengi Wasomi wanahangaika kulalamika Watoto wa Kike wananyanyasika kwa kukosa Taulo zao ( Pedi / Visodo ) huku wakiwa wamesahau kwamba hakuna ' udhalilishaji ' wa Kimantiki na ulio wa wazi unaofanywa kwa Wanawake kama ya Kutolewa / Kulipiwa Mahari.

Bado tuna safari ndefu sana hakyanani!
 
Hakika
 
Tuheshimu mila zetu
 
Hujajua maana ya mahari
 
Hii ni open slave trade under new face
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…