Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mheshimiwa najua Una mtoto wa kike tunaomba upunguze pia hata wazee wengine wasihi wapunguze vijana wana maombi hayo
View attachment 693674
HakikaMataifa mengine ya Afrika yaliyoendelea huu Upuuzi / Upupu wa Kutoa ' Mahari ' kwa Watoto wa Kike walishaachana nao kitambo sana kwani ukiwa tu Critical Thinker na unajua kutumia vyema IQ yako utagundua ya kwamba hatua ya Kwanza ambayo humdhalilisha Mwanamke ni hii ya kutolewa ' Mahari ' na Mwanaume kitendo ambacho hakina tofauti na ' Kununuliwa ' kama bidhaa na kwenda kutumiwa ipasavyo huko iendako.
Nashangaa Wanawake wengi Wasomi wanahangaika kulalamika Watoto wa Kike wananyanyasika kwa kukosa Taulo zao ( Pedi / Visodo ) huku wakiwa wamesahau kwamba hakuna ' udhalilishaji ' wa Kimantiki na ulio wa wazi unaofanywa kwa Wanawake kama ya Kutolewa / Kulipiwa Mahari.
Bado tuna safari ndefu sana hakyanani!
Tuheshimu mila zetuMataifa mengine ya Afrika yaliyoendelea huu Upuuzi / Upupu wa Kutoa ' Mahari ' kwa Watoto wa Kike walishaachana nao kitambo sana kwani ukiwa tu Critical Thinker na unajua kutumia vyema IQ yako utagundua ya kwamba hatua ya Kwanza ambayo humdhalilisha Mwanamke ni hii ya kutolewa ' Mahari ' na Mwanaume kitendo ambacho hakina tofauti na ' Kununuliwa ' kama bidhaa na kwenda kutumiwa ipasavyo huko iendako.
Nashangaa Wanawake wengi Wasomi wanahangaika kulalamika Watoto wa Kike wananyanyasika kwa kukosa Taulo zao ( Pedi / Visodo ) huku wakiwa wamesahau kwamba hakuna ' udhalilishaji ' wa Kimantiki na ulio wa wazi unaofanywa kwa Wanawake kama ya Kutolewa / Kulipiwa Mahari.
Bado tuna safari ndefu sana hakyanani!
Hujajua maana ya mahariMataifa mengine ya Afrika yaliyoendelea huu Upuuzi / Upupu wa Kutoa ' Mahari ' kwa Watoto wa Kike walishaachana nao kitambo sana kwani ukiwa tu Critical Thinker na unajua kutumia vyema IQ yako utagundua ya kwamba hatua ya Kwanza ambayo humdhalilisha Mwanamke ni hii ya kutolewa ' Mahari ' na Mwanaume kitendo ambacho hakina tofauti na ' Kununuliwa ' kama bidhaa na kwenda kutumiwa ipasavyo huko iendako.
Nashangaa Wanawake wengi Wasomi wanahangaika kulalamika Watoto wa Kike wananyanyasika kwa kukosa Taulo zao ( Pedi / Visodo ) huku wakiwa wamesahau kwamba hakuna ' udhalilishaji ' wa Kimantiki na ulio wa wazi unaofanywa kwa Wanawake kama ya Kutolewa / Kulipiwa Mahari.
Bado tuna safari ndefu sana hakyanani!
Tuheshimu mila zetu
Bunge lijalo utapelekwa mswada wa kuzipiga marufkuHata kama ni za hovyo hovyo? Acheni tu Rais wa Marekani Trump atutukane / atuzodoe Waafrika.
Hii ni open slave trade under new faceMataifa mengine ya Afrika yaliyoendelea huu Upuuzi / Upupu wa Kutoa ' Mahari ' kwa Watoto wa Kike walishaachana nao kitambo sana kwani ukiwa tu Critical Thinker na unajua kutumia vyema IQ yako utagundua ya kwamba hatua ya Kwanza ambayo humdhalilisha Mwanamke ni hii ya kutolewa ' Mahari ' na Mwanaume kitendo ambacho hakina tofauti na ' Kununuliwa ' kama bidhaa na kwenda kutumiwa ipasavyo huko iendako.
Nashangaa Wanawake wengi Wasomi wanahangaika kulalamika Watoto wa Kike wananyanyasika kwa kukosa Taulo zao ( Pedi / Visodo ) huku wakiwa wamesahau kwamba hakuna ' udhalilishaji ' wa Kimantiki na ulio wa wazi unaofanywa kwa Wanawake kama ya Kutolewa / Kulipiwa Mahari.
Bado tuna safari ndefu sana hakyanani!
Nakuunga mkono!!Hujajua maana ya mahari