1.Nendeni mkasikilize matatizo ya ya wananchi na mkayafanyie KAZI Kwa unyenyekevu mkubwa.
2. Mtangulizeni Mungu na masilahi ya Taifa huku mkiongozwa na katiba na sii vinginevyo.
3. Mtengenezeeni Rais kupendwa na chama kupendwa na sio kumpaka mafuta Kwa mgongo wa chupa kulinda Vito vyenu yes mtavilinda Ila hamtovikalia tena mkitoka.
4.Tabia za Yule mkuu wa mkoa mstaafu na Yule waziri wa nje ya box nitabia zakuziogopa nakuzikimbia kama ukoma ama nanyie mtapotea ktk siasa na kamwe hamto chaguliwa.
5. Muheshimuni Rais na wasaidizi wake na msiwe kama Yule Mh alie Kuwa akisema waziri mkuu ndio Nani? Hii ni tabia mbaya waziri mkuu ndio boss wetu msimsilibe Kwa Rais au kumchongea mkifikiri eti mtakuwa salama.
6. Acheni sifa zakupitiliza Kwa Rais wa nchi hii unaleta Sura mbaya nakuonyesha serikali ni MTU Fulani while serikali ni serikali na Rais ni taasisi.
7. Msiwanange watu maana mpo mlipo hamkumuomba MTU wala kulipa chochote hivyo Kesho mnaweza Rudi benchi.
8. Acheni sifa zakijinga na heshimuni miongozo ya KAZI yenu.
9. Siri Siri Siri. Kama hamjaelewa basi narudia Kuwa na Siri. Yabarazani yaishie barazani. Kumbukeni nyie ni agency wa Siri za serikali.
10. Taifa lipo kwenye hali sio nzuri Sana kiuchumi hivyo basi mshaurini Rais vizuri. Mpeni honest feedaback.
11. Mkiona hamjanielewa mtafuteni Mzee Pinda na RC mpya wa DSM hawa ni walimu waziri Sana.
End