hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,678
- 27,653
Je, umewahi kujiuliza kwa nini Biblia inarudia majina ya watu mara kwa mara, kana kwamba kuna mpango wa Mungu uliopangwa tangu mwanzo?
๐ Ukweli huu unaonekana wazi unapofuatilia mlolongo wa Maandiko:
โ ๐๐๐๐๐ โ โ๐๐๐โ
Adamu maana yake ni mtu au binadamu.
Hapa Biblia inaanzia na hali ya mwanadamu.
โก ๐๐๐๐ โ โ๐๐๐๐๐๐๐๐ / ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐โ
Baada ya kifo cha Habili, Mungu alimleta Seti.
Maana ya hilo jina ni aliyewekwa badala , ni ishara ya tumaini jipya baada ya maangamizi.
โข ๐๐๐๐๐ โ โ๐๐๐๐๐๐ ๐ / ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐โ
Enosi humaanisha dhaifu wa mwanadamu.
Ujumbe: Binadamu ni dhaifu na anahitaji msaada wa Mungu.
โฃ ๐๐๐๐๐๐ โ ๐๐๐๐๐๐๐โ
Maana ya Kenani ni huzuni au maombolezo.
Inaonyesha maumivu yanayotokana na dhambi.
โค ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ โ โ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐โ
Jina hili ni muunganiko wa maneno mawili
Mahalal = sifa
El = Mungu
Maana yake Mungu asifiwe. Hata katikati ya huzuni, kuna tumaini la Mungu.
โฅ ๐๐๐๐๐๐ โ โ๐๐๐๐๐๐๐๐ / ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐โ
Yaredi maana yake ni kushuka.
Ujumbe ,ni kushuka kwa Mungu kwa mwanadamu, ishara ya wokovu unaokuja.( Hapa ndio unaona Yesu kuja duniani)
โฆ ๐๐๐๐๐ โ โ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐โ
Enoki anajulikana kwa kutembea na Mungu.
Huu ni mfano wa maisha ya haki na ushirika na Mungu.
โง ๐๐๐๐๐๐๐๐ โ โ๐๐๐ ๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐โ
Jina hili lina maana:
โKifo kinasubiri kila binadamuโ, ishara ya kwamba hatimaye hukumu ya Mungu itakuja.
โจ ๐๐๐๐๐๐ โ ๐๐๐๐๐๐๐โ
Lameki lina maana ya maumivu na huzuni.
Dunia ilikuwa imejaa uovu, dhambi na mateso.
โฉ ๐๐๐๐ โ โ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐โ
Nuhu maana yake ni: kupumzika na wokovu.
Hapa Mungu anaonesha njia ya wokovu hata katikati ya hukumu: akamfikisha Nuhu na familia yake kwenye safina, akizuia maangamizi kamili
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐:
Unapata UJUMBE huu๐
๐ โMTU ALIYEWEKWA, NI DHAIFU, ANA HUZUNI; LAKINI MUNGU ASIFIWE, ATASHUKA; ATAWAPA NJIA, KIFO KITAKUJA, MAUMIVU YATATOKEA, LAKINI KUTAKUWA NA FARAJA.โ
๐ฅ Huu ni ujumbe wa Injili kabla ya Injili.
๐ฅ Ni habari ya Yesu Kristo kabla hajazaliwa.
Yesu Kristo ndiye:
Mungu aliyeshuka
Faraja ya wenye huzuni
Wokovu wa mwanadamu dhaifu
Biblia si mkusanyiko wa hadithi tu ni ufunuo uliopangwa kwa hekima kuu.
Hiki kitabu ni kipya kila siku