Ujumbe uliofichwa tangu mwanzo wa mwanadamu

Hii AI bhana inawafanya mnakuwa mambumbu sana ,Uislamu hakika ni dini ya ovyo sana
 
Muhammad alikuwa tapeli wakutupwa
 
Kwa ufupi mkuu Hamisi 77 Majina kati ya Daudi hadi Yesu yanatofautiana kabisa si tofauti ndogo. Hii inaonyesha kuwa ukoo mmoja (au wote) haukuwa sahihi kihistoria, bali uliundwa kwa lengo la theolojia, si ukweli wa kihistoria.

Kudai kuwa Mathayo anaonyesha ukoo wa kisheria na Luka ukoo wa Mariamu ni tafsiri ya kulazimisha, isiyoungwa mkono na maandiko yenyewe. Tofauti hizo zinabaki kuwa changamoto kubwa kwa hoja ya uthibitisho wa kimasiha kupitia nasaba....... Bibulia imeja editing za binaadamu sio ufunuo wa Mungu kama wanavo dai.
 
Hii AI bhana inawafanya mnakuwa mambumbu sana ,Uislamu hakika ni dini ya ovyo sana
Mkuu hapo umejibu nini mkuu acha upuuzi Mimi situmie akili bandia kama wewe ndo canzo chako endelea TU
 
Kwa hiyo wewe unapingana na Alla wako alietambua vitabu vya injili ni mojawapo ya vitabu vitukufu vya Quran?
Mkuu hivyo vitabu vilisha haribiwa na binaadamu waliandika wenyewe kwa matakua Yao na kifuta maandishi ya Mungu.
 
Pongezi nyingi kwako ndugu
hamis77 kwa kulichambua Neno la Mungu katika kiwango bora kabisa:
Hao wengine walishasema kuwa hawaabudi tunaye mwabudu sisi:

Pia wamesema wazi kabisa wameruhusiwa kuongopa katika mambo matatu

Mambo ya Ndoa, Mambo vita na pale wanapoitetea dini yao:

Hivyo wasikuumize kichwa kwa kubishana nao, wao wanajua wanachokifanya:
 
Unadai ni maneno ya Muhammadi na hizi injili vipi

1. "Injili ya Tomaso" (Gospel of Thomas)
Haielezei kusulubiwa wala ufufuo.
Inahusisha maneno ya Yesu kama mwalimu wa hekima si Mungu.

2. "Injili ya Barnaba"
Yesu anatajwa kuwa mtume tu, si Mwana wa Mungu.
Inapinga kusulubiwa kwake, sawa na Qur’an.

3. "Injili ya Ebionites"
Ilikuwa ya Wakristo wa Kiyahudi waliomkataa Paulo na imani ya Utatu.

4. "Injili ya Wamisri" (Egyptians Gospel)
Ilitumika na wafuasi wa mapokeo ya kiroho waliopinga mafundisho ya uungu wa Yesu.

5. "Injili ya Filipo" (Gospel of Philip)
Ina maelezo ya Yesu kama mtu wa kiroho zaidi, si Mungu.
 
Kwa hiyo wewe unapingana na Alla wako alietambua vitabu vya injili ni mojawapo ya vitabu vitukufu vya Quran?
Qur'an inatambua Injili na Zaburi ni kweli ziliteremshwa na Mungu, lakini haithibitishi kuwa maandiko yaliyopo sasa yako salama kikamilifu kutokana na mabadiliko ya kibinadamu.

Qur’an imeonya kuhusu mabadiliko katika maandiko:
"Wanabadili maneno kutoka mahali pake..." (Al-Ma’idah 5:13)

"Basi ole wao wanaoandika Kitabu kwa mikono yao kisha wakasema Hiki kimetoka kwa Mwenyezi Mungu..." (Al-Baqarah 2:79)


Qur'an inathibitisha kuwa maandiko ya awali yalikuwa ya kweli lakini wanadamu walibadili baadhi ya maneno au kuyapotosha. Kwa hiyo Qur'an iliteremshwa kuwa kitabu cha mwisho na mrekebishaji (muhayminan ‘alayhi):
"Na tumekuteremshia Kitabu kwa haki kikithibitisha yaliyo kabla yake katika vitabu, na kuwa mlinzi juu yake..." (Al-Ma'idah 5:48)
 
Hii AI bhana inawafanya mnakuwa mambumbu sana ,Uislamu hakika ni dini ya ovyo sana
AI ni zana au kifaa cha kuku saidia kufikia maudhui au vitabu mbalimbali kwa wakati kwahiyo nichaguo lako kutembea kwa miguu au kupanda usafiri.
 
Kwahiyo Yesu alikua mwanadamu na alikufa msalabani?
Yesu hakusulubiwa kwa mujibu wa injili ya Barnaba Yuda ndiye aliyesulubiwa badala yake

Katika Sura ya 217, Injili ya Barnaba inasimulia kwamba Yuda Iskariote alibadilishwa sura na kuonekana kama Yesu, na hivyo alikamatwa na kusulubiwa badala ya Yesu. Yesu mwenyewe alichukuliwa mbinguni na Mungu.

inalingana na aya za Qur’an (4:157-158) zinazosema kwamba Yesu hakusulubiwa, bali ilionekana hivyo kwa watu.
 
hamis77
 
Sasa jibu yupi Iko sahihi, kwasabbu mtu hawezi kua na baba wa will jibu kibibulia sio hadeeth na hisia zako mkuu ushahidi wa maandiko ni muhimu sana.
Bila kayfa
 
Nani kakwambia hayo ni maneno ya yesu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…